Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

Acha uchawa
 
mjanja empty brain mbona umebaki na mihemko ya kuropoka na makasiriko ya kilofa tu?


yaani mie nibabaike kujadili hilo zinifu la madhabahuni? Nonsense πŸ’
sina uhakika kama gwajiboy alizini au hajawahi kuzini, na hata kama aliwahi kuzini sio ajabu kwani hata mimi nishazini sana, na pengine kwa upande wako wewe ushapigwa hadi miti pia. cha muhimu ni kwamba, hata angekuwa mzinifu gwajiboy ana akili na wa muhimu hapa duniani kuliko wewe mbweha ambaye ni chawa wa wanaume wenzio.
 
ajabu ni kurikodi video ya kuzuni na waamini wake na kuwaambukiza maradhi ya zinaa kwa makusudi waamini wake wasio na hatia gentleman πŸ’
 
Matahila nyie nchi inauzwa halafu mnasifia ujinga mlaniwe na ukoo wenu wote wapumbavu.
 
Matahila nyie nchi inauzwa halafu mnasifia ujinga mlaniwe na ukoo wenu wote wapumbavu.
tuliza mihemko na makasiriko gentleman, iuzwe unadhani peremende hiyo?πŸ’
 
Kabla ya yule na huyu hatukua na mauaji unayoyasifia, leo hii mauaji hayo unaona ni mafanikio! Wewe ni mbwa mwitu.
huo ni uzushi na drama za kilofa tu gentleman,
ni vizuri kufahamu kwamba kila nafsi itaonja umauti.

Ishi na watu vizuri πŸ’
 
.waumini wa makanisa ya Ufufuo na Uzima yako kila wilaya katika nchi hii na wote hao wamekosa na wanenyimwa uhuru wao wa Kumwabudu Mungu wao harafu wewe unatuimbia wimbo wa Amani!! Amani ipi wakati watu wanateka, wanateswa na kupotezwa na wengine kuuwawa na watu wasiojukikana?

Kuna furaha ipi ukitembea kwenye barabara nzuri wakati ndugu yako katekwa na kauwawa? Kuna faida gani ukiwa na miundombinu yote lakini huna uhuru wa kuabudu na watu wanatekwa na kuuwawa na watu wasiojulikana?

Akili yako yote imegota kwenye kufumaniwa ukimendea mke wa mtu tu!! Kuna uwezekana mkubwa wewe ndiyo mpenzi wa ujinga huo!!
 
ajabu ni kurikodi video ya kuzuni na waamini wake na kuwaambukiza maradhi ya zinaa kwa makusudi waamini wake wasio na hatia gentleman πŸ’
sidhani kama alikuambukiza magonjwa ya zinaa. whatefer the case kama wewe haujawahi kuzini na uwe wa kwanza kurusha jiwe.
 
sidhani kama alikuambukiza magonjwa ya zinaa. whatefer the case kama wewe haujawahi kuzini na uwe wa kwanza kurusha jiwe.
ni jambo la hovyo sana mtu kumuamini askofu bandia na mzinifu kama huyo πŸ’
 
acha uropokaji na upotoshaji mwepesi kihivyo gentleman πŸ’
 
acha uropokaji na upotoshaji mwepesi kihivyo gentleman πŸ’
Acha uchawa wa Kijinga!! Waumini wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima nchi nzima wanapigwa na kunyimwa haki yao ya kuabudu wewe unaimba Amani gani hiyo?
 
Acha uchawa wa Kijinga!! Waumini wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima nchi nzima wanapigwa na kunyimwa haki yao ya kuabudu wewe unaimba Amani gani hiyo?
relax bana gentleman,
mzinifu kama yule atamfufua nani kwa mfano?

acha kuhadaa wadau wa JF bana plz,
eti ng'we ng'we sijui nini la ufufuo, alifufuka nani huko kama sio kudanganyana kilofa tu πŸ’
 
relax bana gentleman,
mzinifu kama yule atamfufua nani kwa mfano?

acha kuhadaa wadau wa JF bana plz,
eti ng'we ng'we sijui nini la ufufuo, alifufuka nani huko kama sio kudanganyana kilofa tu πŸ’
Wajinga na wapumbavu kama wewe ndiyo watauamini UHARO wako huu na kupuuza kilio cha waumini walionyimwa Uhuru wao wa kumwabudu Mungu wao!!
 
Wajinga na wapumbavu kama wewe ndiyo watauamini UHARO wako huu na kupuuza kilio cha waumini walionyimwa Uhuru wao wa kumwabudu Mungu wao!!
uropokaji na mihemko ni sawa na ushirikiana tu gentleman, ni vitu nonsense kabisaa πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…