Yaani nyie wa mtaa wa ufipa ni makauzu kwelikweli! Unafikiri kum'discredit' kwako kunampunguzia nini huyo Iron lady!
 
Hahahaaa😃😃😃

Tarehe 22/4/2019 Mama Samia ana mtihani mkubwa wa kwanza, her credibility at test!​


Anatestiwa na nani😂😂😂😂😂

Alijaribiwa au atajaribiwa?
Haraka za nini?
 
Bila shaka covid 19 ndio litmus test credibility ya mama kuheshimu utawala wa sheria. Kufumbia au kutofumbia macho huu ukiukwaji mkubwa wa sheria kutavunja au kujenga credibility ya mama kwa kiwango kikubwa.
 
Bila kuiondoa ccm madarakani, kutegemea mabadiliko ni sawa na kusubiri a nazi idondoke kwenye mwembe
 
Kamwe hataweza kuwazungumzia hao, time will tell!
 
Huyu mama aachwe afanye kazi zake , alipokua mwendazake mlisema muacheni afanya anavyotaka kwa huyu mama hamtaki afanye yake ,kuongoza nchi ni mfumo na kwakua Tanzania imechagua kiongozi ndio anaamua kila kitu basi iachwe hivyo hivyo, maana mzee wa chato alikua anafanya kila kitu kutokana na jinsi alivyoamka asubuhi, sasa na huyu afanye yake ndio muone umuhimu wa Katiba ambayo itaelekeza kila kitu kifanyikeje na sio utashi wa mtu
 
SUALA LA HAO COVID-19 KUWA BUNGENI SIO SUALA LA EXECUTIVE [ RAIS] NI SUALA LA JUDICIARY [MAHAKAMA] KUONA KAMA HAO WAKINA MAMA WAKO BUNGENI KIHARAMU AU KIHALALI! IT IS THE WORK OF THE JUDICIARY TO INTERPRET THE LAW.
Kosa lilishatendeka[emoji848][emoji848]
 
... waache CCM wawe CCM! ... kwa wenzetu hawa mtego wa panya ni wa kunasa panya tuu, yaani jogoo, mbuzi na ngombe 'ata hauwahusu!
 
Comment mzuri sana
Nashukuru mkuu kama kweli yeye ni mkweli na anataka tuzizike tofauti zetu alivunje bunge HALIMA barakah za wananchi na kama anatomy gharama za uchaguzi mwambieni sisi wananchi tutachangia wenyewe kama tulivyomchangia Lisu, kama tulivyowachangia viongozi wa chadema kwenye faini zao za ujinga za kubambikiwa kesi n.k tofauti na hapo mapambano yataendelea ba atapata shida sana kuongea watanzania waliogawanyika kivyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…