Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Za chini ya kapeti ni linavunjwa ndiyo maana hata ukimtazama subwoofer wakati anatoa hilo tangazo nikama analiaAkawape vipande vyao
Hasa wale darasa la saba..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za chini ya kapeti ni linavunjwa ndiyo maana hata ukimtazama subwoofer wakati anatoa hilo tangazo nikama analiaAkawape vipande vyao
Hasa wale darasa la saba..
Baada ya bunge kuvunjwa naye anakosa uhalali wa kuitwa spikaNdugai hawezi kujiuzulu.. labda asaidiwe kwa kutumbuliwa
Angeweza vipi kung’ara wakati yeye ni makamu kwa maana ya msaidizi mkuu?.Siandiki kishabiki bali kwa kutumia akili. Sihitaji kumshabikia waaidha mama wala marehemu bila sababu au vigezo vinavyovuka mashaka. Hivi niambie mama amefanya kitu gani ambacho mpaka leo unaweza kumnasibisha nacho? Mama sio mgeni Serikalini ama iwe Zanzibar au Serikali ya Muungano. Nimbie kwa miaka mitano iliyopita akiwa na Marehemu aling'ara kwa lipi? Kwa nafasi yake hakustahili kung'ara kwa lolote? Nafasi aliyokuwa nayo kiutendaji ni ya kutwezwa au ya kusema anasubiria nafasi nyingiyo ang'are?
Wakati Ndugaye anatoa tangazo hilo nilimuona anataka kutoa machozi na wakati huo nikamuona msukuma kasheku anatetemeka.MaTaGa wanasikilizia
Kivipi?Katiba haimruhusu kufanya hivyo
Wanao demka ni wana ccm kama weweKamanda unaanza kudemka eh
Ndio imeshakuwa kwamba makamu amekuwa rais baada ya rais kutangulia mbele za haki.Unategemea miujiza ya kufanya vizuri? Unadhani kufanya vizuri kunatokana tu na wishes za watu wewe kufanya vizuri? Nguvu ya kufanya vizuri iko wapi? Ipo historia yoyote inayobeba hivyo viashiria vya kufanya vizuri?
Bashiru ni sawa na mamba anakuwa na nguvu akiwa majini.hilo hawezi kufanya katu..... naye hana uhakika wa kurudi maana akina bashiru watamkomalia
Anasuburiwa atoe muelekeo wa awamu yake
Muelekeo upi tena ilhali Marehehemu alishatoa muelekeo huko nyuma na yeye mama anasema tukimkumbuka marehemu basi tumuone yeye na tukiomuona yeye basi tumkumbuke marehemu? Kwa kwenda kuhutubia Bunge ilhali anato kauli kama hizi ni kama anaji-contradict.Anasuburiwa atoe muelekeo wa awamu yake
Wewe mrundi naona unazo kazi za kufanyaUnampangia Rais kazi.Watanzania bwana,mnaota mchana kweupe.
Nakuunga mkono kwa 100%Mimi ningalifurahi asiishie tu kuliona Bunge halijadili mambo yasiyo na Afya kwa Taifa bali achukue hatua. Ikiwa Bunge ndio chombo cha kuhakiki na kuchunga Afya ya Nchi na limechepuka kufanya hi vyo achukue hatua ya kulivunja tu ili tuingie kwenye uchagzi ili tupime nguvu yake anayosema yuko sawa na marehemu.
Mfumo dume umekuja leo baada ya kuwa Raisi? Suala la kukosa uwezo sasa mnataka kulifutika chini ya mfumo dume? Amekuwa Makamu wa Raisi kwa miaka mitano na ushee uliwahi kusikia watu wanataka aondoke kwa sababu ya jinsia yake? Hebu mnaomtetea kwa mihemko tu jipangeni kwa hoja zingine na sio hii ya mfumo dume!Ndio imeshakuwa kwamba makamu amekuwa rais baada ya rais kutangulia mbele za haki.
Iliandikwa na Mungu kuwa Samia atakuwa rais wa Tanzania kuanzia March 2021, ni suala la kukubaliana na mipango ya Mungu.
Baadhi yetu mfumo dume umeteka akili kiasi cha kushindwa kukubaliana na mapenzi ya Mungu, lakini hakuna chochote kinachoweza kubadilishwa.
Comment mzuri sanaAlivunje bunge kama kweli ana taka mshikamano wa watanzania hatuwezi kuwa na umoja wakati wawakilishi wengi sio chaguo la watanzania ni chaguo la hayati kwa dhuluma kubwa au BASI wale Covid 19 awazingue [emoji38][emoji38][emoji38]
Aiseeee hapo mbona taifa lingelipuka kwa shangwe!Ikimpendeza alivunje kabisa tuanze upyaaaahhhhh
Wana Kongwa walisha mkataa huyo mzee wa bakoraAisee kweli. Katika majimbo yalio nyuma hapa nchini Kongwa iko katika kumi mbaya.
Next time nagombea Kongwa kwa tiketi ya chama changu.
Hata waziri mwenyewe hatoshi nafikiri ni kwa jina tu lilimbeebaDAH NAIBU WAZIRI wa afya jamani hivi mama lini atawaondoa wale wawili pale wakafanye kipindi cha comedy?
Ccm hali teteAcha uongo
Huyu ndio rais wetu mkuu. Tunae mpaka 2025 Mungu akipenda.Mfumo dume umekuja leo baada ya kuwa Raisi? Suala la kukosa uwezo sasa mnataka kulifutika chini ya mfumo dume? Amekuwa Makamu wa Raisi kwa miaka mitano na ushee uliwahi kusikia watu wanataka aondoke kwa sababu ya jinsia yake? Hebu mnaomtetea kwa mihemko tu jipangeni kwa hoja zingine na sio hii ya mfumo dume!
Angeweza vipi kung’ara wakati yeye ni makamu kwa maana ya msaidizi mkuu?.
Alikuwa anamsaidia rais kwa kwenda kwenye mikutano mikubwa ya UN na ulaya, huo sio msaada?.
Ulitaka afanye lipi ili mchango wake uonekane kama makamu?.
Marehemu aliyekuwa karibu nae kikazi aliukubali uwezo wake, kipi tena cha ziada cha kuuthibitisha uwezo wake!.