Man Mvua
JF-Expert Member
- Apr 12, 2016
- 2,183
- 3,521
Duuh hata wewe unasema hivyo !!? Hivi ulipatwa na nini kiongozi ??Alivunje kabisa tuanze upya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh hata wewe unasema hivyo !!? Hivi ulipatwa na nini kiongozi ??Alivunje kabisa tuanze upya!
Mabavicha yanajipendekeza kwa mama!MaTaGa wanasikilizia
Jiwe alikwama wapi?Mama usipojitofautisha na Mwendazake basi huko mbele kuna kukwama kama alivyokwama Jiwe
[emoji3][emoji3][emoji3] Na kama hawajirekebishi, maana Samia alivunje tu hilo bunge. Uchaguzi uitishwe upya. Hakika watarudi wale wabunge wanaojielewa tu. Hao wasofanya tulichowatuma hawatorudi ng'oAkawape vipande vyao
Hasa wale darasa la saba..
kwani Leo taree ngapi?Mh Spika Job Ndugai ameuhabarisha umma kupitia bunge kuwa Tarehe 22 April 2021 Mh Rais Samia Suluhu Hassani atalihutubia bunge ... Je tutarajie nini toka kwenye hotuba hiyo inayongojwa na wengi kwa matumaini?
Mfungo mwema
Mama yetu ana nia nzuri sana na Taifa hili lakini kuna watu walinogewa na ubabe wa Jiwe na walifaidika sana na udikteta na roho yake mbaya ya kutojali utu wa wenzake. Miongoni mwa wanaopanga kumkwamisha Samia ni huyu Job. Job ameunda kundi la wabunge wake wamshambulie Samia na Serikali yake ili aonekane anapwaya kwenye kiti.Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.
Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Alivunje kabisa tuanze upya!
Mijadala ya bunge kwa sasa haina afya kabisa bwashee!Hata wewe Joni Johnthebaptist bunge lako tukufu la cha chako umeshindwa kulivumilia!
Huu uzalendo wako unastahili pongezi kupigania Hakika ya Maendeleo ya Watu, Siasa, Uchumi, Haki na Uhuru baada ya kuondoka mwendazake, sasa hayana vyama!
Ni wewe kada mtiifu na mwanamapambio mashuhuri au wamekuibia avatar yako?Alivunje kabisa tuanze upya!
Bora tumuingize mzee mgaya humoAlivunje kabisa tuanze upya!
Ni wakati Sabufa ajiuzulu Ile Jimbo lake nalo lipate mbunge mchapakazi. Wakati jpm anaendeleza kwao kwa kupeleka hospital, benki, veta, mbuga za wanyama, kiwanja Cha ndege, mataa ya barabarani, shule, mwalo, soko, hoteli ya nyota tatu nk.
Huyu Sabufa ambae nae Ni mkuu wa mhimili hajapeleka hata kisim Cha maji, shule zinahali mbaya sana isitoshe hata hela zilizopelekwa kwenye halmashauri ya kwao zimeota mbawa(ripoti ya CAG) msimamiaji wa hizo hela Ni mtu wa karibu sana na Sabufa.