fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Hapo sasaSpika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasaSpika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni
Sina uhakika na hili.Hivi akivunja na yeye anavunjika au ni wabunge pekee
Katiba haimruhusu kufanya hivyoHalafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.
Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Kamanda unaanza kudemka ehHalafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.
Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Naam, hawa watakuwa wamemchefua. Kama imefikia hatua mbunge yeyote akiwagusa tu, spika anamtahadharisha awaache, eti ni watu hatari. Naona hata spika Ndugai itabidi abadili gia. Aache umagufulimagufuli. Naibu Spika naye memo za kutoka Ikulu sasa zitakauka. Hizo ndio siasaAkawape vipande vyao
Hasa wale darasa la saba..
Nape na Makamba wameongea kutuliza mzuka wa darasa la saba na wale wagumu wa Magu. Sidhani kama hawa ndio wamemchefua.Akawapashe wanafiki kina Nape na Makamba.
Hivi akivunja na yeye anavunjika au ni wabunge pekee
hilo hawezi kufanya katu..... naye hana uhakika wa kurudi maana akina bashiru watamkomaliaWote wanavunjika, uchaguzi mkuu unaitishwa.
Hahahaha alafu atakuwa mgombea wa Chadema? Hzo ni ndoto cha mchana yeye mwenyewe anajua hawezi na hato jaribu kufanya hvyo hata siku mojaHalafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.
Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
... na huo ndio ukweli; Rais ni sehemu ya Bunge. Kulihutubia Bunge ndio njia pekee ya Rais kukamilika kuwa sehemu ya Bunge na hivyo Rais kamili.Labda bila kuhutubia Bunge anajihisi hajawa Raisi kamili.
Nakubaliana na wewe Mkuu..Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.
Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Ni jambo jema na la ujasiri. Pia arudishe hotuba za kila mwisho wa mwezi na mwisho/mwanzo wa mwaka.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Taifa, Alhamisi April 22, 2021, taarifa hiyo imetolewa na Spika Ndugai leo Bungeni.
Hizo pesa za uchaguzi ni bora walipwe watumishi na kuajiri vijana.Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.
Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.