Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021
Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.

Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Katiba haimruhusu kufanya hivyo
 
Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.

Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Kamanda unaanza kudemka eh
 
Akawape vipande vyao

Hasa wale darasa la saba..
Naam, hawa watakuwa wamemchefua. Kama imefikia hatua mbunge yeyote akiwagusa tu, spika anamtahadharisha awaache, eti ni watu hatari. Naona hata spika Ndugai itabidi abadili gia. Aache umagufulimagufuli. Naibu Spika naye memo za kutoka Ikulu sasa zitakauka. Hizo ndio siasa
 
Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.

Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Hahahaha alafu atakuwa mgombea wa Chadema? Hzo ni ndoto cha mchana yeye mwenyewe anajua hawezi na hato jaribu kufanya hvyo hata siku moja
 
Labda bila kuhutubia Bunge anajihisi hajawa Raisi kamili.
... na huo ndio ukweli; Rais ni sehemu ya Bunge. Kulihutubia Bunge ndio njia pekee ya Rais kukamilika kuwa sehemu ya Bunge na hivyo Rais kamili.
 
Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.

Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Nakubaliana na wewe Mkuu..
Hili sio bunge kabisa..
Ni kusanyiko la wapumbavu wakiongozwa na subwoofer.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Taifa, Alhamisi April 22, 2021, taarifa hiyo imetolewa na Spika Ndugai leo Bungeni.
Ni jambo jema na la ujasiri. Pia arudishe hotuba za kila mwisho wa mwezi na mwisho/mwanzo wa mwaka.
 
Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.

Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Hizo pesa za uchaguzi ni bora walipwe watumishi na kuajiri vijana.

Maisha ni zaidi ya huu upuuzi.

Hata uchaguzi ukirudiwa watarudi bungeni wapuuzi wale wale.
 
Back
Top Bottom