Atalihutubia Bunge akijua:
1. Kuna covid 19 akina Mdee Halima and colleagues........wanaojiita wabunge wa viti maalum ambao hawana chama kilichowateua kuwa pale. Je atawaongelea au ata mute na kufunika kombe mwanaharamu apite? . Akifanya hivyo amepoteza credibility, hataamika tena....
2. Pamoja kuwa wote walioko bungeni hawana uhalali wa kuwa pale maana wametokana na TISS/Polisi/JKT/ Mahela/Kaijage/Mihayo and many illegal acts, angalau hawa unaweza kufunika kombe mwanaharamu akapita , lkn siyo covid -19!
Ngoja tuone atakavyochanga karata! Lakini kasema yeye na Jiwe kitu kimoja. kama Jiwe aliwaleta Bungeni, basi naye will follow suit!