Ila uongozi ni mfano, hivyo nategemea naye atafanya hivyo hivyo hususan kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na ule mkuu ujao!Mheshimiwa Rais Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili.
Mama Samia ameonya tabia ya Watendaji wa Serikali kutumia nguvu kukusanya kodi, kufungia biashara zao, kunyang'anya fedha kwenye akaunti kisa Sheria inawaruhusu.
Ameongeza kuwa Kitendo hicho kinasababisha wafanyabiashara kufunga biashara zao na kukimbilia nchi Jirani na hatimaye Serikali kukosa mapato.
Ni suala la upinzani ama ni kutofautiana mtizamo![emoji16]Ni kama alikuwa mpinzani wa JPM.mpaka KMK kambadilisha.
Nadhani hapa amefanya sahihi. Hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa pale. Lakini pia ni kiashiria tosha kuwa hata Yeye hakukubaliana na ule uteuzi. Na kwakuwa Mkuu aliamua hakuwa na namna.Ni kama alikuwa mpinzani wa JPM.mpaka KMK kambadilisha.
Lakini huyu msaidizi wake anaongea bila kuelewa muelekeo wa Mh. Rais, yeye ana mwagiza Mwigulu wakusanye trilion mbili kwa mwezi wakati yeye zilimshinda na kuanza kuibia watu.Mama amenikosha sana.
Kumbe walikuwa wanatumia mabavu hadi kukwapua hela za watu kwenye account zao za benki.
Kama analoongea ndo alilokusudia kulisimamia basi sekta hii ya biashara na uwekezaji itaanza kustawi tena.
Rais kasema wakatafute walipaji kodi wapya pia..huoni hao wapya ndo watazidi kupandisha makusanyo?Lakini huyu msaidizi wake anaongea bila kuelewa muelekeo wa Mh. Rais, yeye ana mwagiza Mwigulu wakusanye trilion mbili kwa mwezi wakati yeye zilimshinda na kuanza kuibia watu.
Mpango bado sana kwenye utendaji.
Huyu madam President ataniua kwa furaha!Mheshimiwa Rais Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili.
Mama Samia ameonya tabia ya Watendaji wa Serikali kutumia nguvu kukusanya kodi, kufungia biashara zao, kunyang'anya fedha kwenye akaunti kisa Sheria inawaruhusu.
Ameongeza kuwa Kitendo hicho kinasababisha wafanyabiashara kufunga biashara zao na kukimbilia nchi Jirani na hatimaye Serikali kukosa mapato.
Hatukusema haya enzi za ibilisi tukaonekana wachochezi , sio wazalendo , wasaliti , tunatumiwa na mabeberu .Mheshimiwa Rais Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili.
Mama Samia ameonya tabia ya Watendaji wa Serikali kutumia nguvu kukusanya kodi, kufungia biashara zao, kunyang'anya fedha kwenye akaunti kisa Sheria inawaruhusu.
Ameongeza kuwa Kitendo hicho kinasababisha wafanyabiashara kufunga biashara zao na kukimbilia nchi Jirani na hatimaye Serikali kukosa mapato.
TRA akili wanayo ,tatizo SUKUMA GANG walishazoea nguvu hata kuua-nzi aliyetua usoni wanatumia nyundo.Mheshimiwa Rais Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili.
Mama Samia ameonya tabia ya Watendaji wa Serikali kutumia nguvu kukusanya kodi, kufungia biashara zao, kunyang'anya fedha kwenye akaunti kisa Sheria inawaruhusu.
Ameongeza kuwa Kitendo hicho kinasababisha wafanyabiashara kufunga biashara zao na kukimbilia nchi Jirani na hatimaye Serikali kukosa mapato.
Mfano wa mbali sana huo! ni kama ubakajiKutumia nguvu bila maarifa ni sawa na kumlazimisha Donkey kudrink wota
Huna hoja we chawa.Sisi wananchi wenyewe kulipa kodi bila kusukumwa ni mtihani!! Ukisema leo waje kwa kulemba kwenye kodi aaah hawapati ata bilion 1 kwa mwezi. Wakwepa kodi wengi wanajua kama wanakwepa kodi na wanafanya hivo ili faida ipige maradufu.
Kurepu mkuuMfano wa mbali sana huo! ni kama ubakaji
Sisi wananchi wenyewe kulipa kodi bila kusukumwa ni mtihani!!.
Mkuu unamaanisha kutumia nguvu ni bora zaid ili tulipe kodi? Kikubwa ni kujenga taasisi imara na mfumo thabiti na wananchi wapewe elimu na uwajibikaji wa kulipa kodi. Akili 75% nguvu 25%Sisi wananchi wenyewe kulipa kodi bila kusukumwa ni mtihani!! Ukisema leo waje kwa kulemba kwenye kodi aaah hawapati ata bilion 1 kwa mwezi. Wakwepa kodi wengi wanajua kama wanakwepa kodi na wanafanya hivo ili faida ipige maradufu.
HahaahaaKwahiyo mtangulizi wake alikuwa anatumia nguvu badala ya akili?