Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Ila uongozi ni mfano, hivyo nategemea naye atafanya hivyo hivyo hususan kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na ule mkuu ujao!Mheshimiwa Rais Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili.
Mama Samia ameonya tabia ya Watendaji wa Serikali kutumia nguvu kukusanya kodi, kufungia biashara zao, kunyang'anya fedha kwenye akaunti kisa Sheria inawaruhusu.
Ameongeza kuwa Kitendo hicho kinasababisha wafanyabiashara kufunga biashara zao na kukimbilia nchi Jirani na hatimaye Serikali kukosa mapato.