nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Hivi kesi iliishaje Mkuu!? Nilihama Tz nikaenda kusiko na network.Ila nimecheka na nilicheka mno kipindi kile.Anaweza hata kuwabambikia kesi za ugaidi yule!! Hana maana kabisa yule jamaa! Namkumbuka sana namna alivyo husishwa kwenye ile kesi ya ugaidi ya kutengeneza iliyomhusu Wlifred Lwakatare.
Kwahiyo wewe una akili na maono makubwa ya ukusanyaji wa kodi kuliko Mh. SSH?Sisi wananchi wenyewe kulipa kodi bila kusukumwa ni mtihani!! Ukisema leo waje kwa kulemba kwenye kodi aaah hawapati ata bilion 1 kwa mwezi. Wakwepa kodi wengi wanajua kama wanakwepa kodi na wanafanya hivo ili faida ipige maradufu.
Umeona hilo tu?Sisi wananchi wenyewe kulipa kodi bila kusukumwa ni mtihani!! Ukisema leo waje kwa kulemba kwenye kodi aaah hawapati ata bilion 1 kwa mwezi. Wakwepa kodi wengi wanajua kama wanakwepa kodi na wanafanya hivo ili faida ipige maradufu.
Lwakatate alishinda kesi kwa kukosekana ushahidi.Hivi kesi iliishaje Mkuu!? Nilihama Tz nikaenda kusiko na network.Ila nimecheka na nilicheka mno kipindi kile.
Safi sana mama naona unaanza kuiga iga mienendo ya yule wa zanzibar kwa sasa hali shwariMheshimiwa Rais Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili.
Mama Samia ameonya tabia ya Watendaji wa Serikali kutumia nguvu kukusanya kodi, kufungia biashara zao, kunyang'anya fedha kwenye akaunti kisa Sheria inawaruhusu.
Ameongeza kuwa Kitendo hicho kinasababisha wafanyabiashara kufunga biashara zao na kukimbilia nchi Jirani na hatimaye Serikali kukosa mapato.
Ulishaanza kuwa utaratibu wa watu kuzulumiana. Wengine wakatumia huo upenyo kama unamdai anakwambia TRA wamefunga Account zangu..Mama amenikosha sana.
Kumbe walikuwa wanatumia mabavu hadi kukwapua hela za watu kwenye account zao za benki.
Kama analoongea ndo alilokusudia kulisimamia basi sekta hii ya biashara na uwekezaji itaanza kustawi tena.
SureWaambie mama
Ova
Wewe unafanya biashara gani.?unataka kusema Rais anachoongea ni uongo ila wewe Koti la chawa ndy unajua Ukweli? Wengi wenye kuishi kwa vikazi vya wajomba huona mfanyabiashara kama adui...Weee mdanganye tuu,
nchi hii ni nani aliye tayari kulipa kodi stahili kwa biashara/ shuguli anayo ifanya labda mfanyakazi tuu through PAYE, Kila mfanya biashara ana wazo la kukwepa kodi ili maximize mapato yake., mwacheni rais akusanye kodi
Madelu mwenyewe Ni mfanyabiashara. Ana Yale mabasi yake Singida Mwanza na Ile petrol station. Anayo siptali ya tiba za jadi.Bora aisee maana huyo aliyepewa hiyo kazi hakawii kuteka mfanyabiashara kudai kodi.
MkuuSisi wananchi wenyewe kulipa kodi bila kusukumwa ni mtihani!! Ukisema leo waje kwa kulemba kwenye kodi aaah hawapati ata bilion 1 kwa mwezi. Wakwepa kodi wengi wanajua kama wanakwepa kodi na wanafanya hivo ili faida ipige maradufu.
Umeongea vizuri, nimeshtuka kidogo alivyosema hatakama sheria inaruhusu.Sisi wananchi wenyewe kulipa kodi bila kusukumwa ni mtihani!! Ukisema leo waje kwa kulemba kwenye kodi aaah hawapati ata bilion 1 kwa mwezi. Wakwepa kodi wengi wanajua kama wanakwepa kodi na wanafanya hivo ili faida ipige maradufu.
Mbona wewe umetumia akili kuelezea na sio nguvu?Hii ni kauli ya kutokujua,,watu wanakwepa kodi kila siku K'koo,vitu vya laki mbili unapewa risiti ya 65000..usipotumia nguvu,tutakula nyasi humu ndani.
Shida muafrika ukimchekea[emoji38][emoji38][emoji38]Hatukusema haya enzi za ibilisi tukaonekana wachochezi , sio wazalendo , wasaliti , tunatumiwa na mabeberu .View attachment 1740521
Uliza kodi ya nyumba km inalipwa kwa wakatiMkuu unamaanisha kutumia nguvu ni bora zaid ili tulipe kodi? Kikubwa ni kujenga taasisi imara na mfumo thabiti na wananchi wapewe elimu na uwajibikaji wa kulipa kodi. Akili 75% nguvu 25%