Rais Samia Suluhu, Kuzaliwa 20/1/20/1960 [64], Tundu Lissu, kuzaliwa 21/1/1968 [56]. Kwa takwimu hizi ni kwa vipi Lissu anaweza kuwa “mtoto wa Samia”?

Siasa haina mbinu zenye mipaka mpwa....

Umesahau 10 D's?!! [emoji1787]

Chifu Hangaya hakoseagi [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye siasa hakuna kitu kama hicho....

Kwenye siasa hakuna ishu za "matrilineal"......

Huyu ameshalegezwa na hiyo kauli yake ni ya kujitetea tu lakini in hypocrite manner.....

Huyu mama "Tundulissuphobia syndrome" imeshamlegeza.......

Tayari alishawekwa kwenye angle ya "The fear of the defeat........."
 
Changamoto ilianzia pale tulipo weka umama kwenye nafasi ya uongozi, kila mtu mama mama! Kila kitu mama mama!
Kwa hio wote anatuona kama wanae .
Hupo sahii , kuitwa mama kila mtu anamuona mwanae.
Note
Kila binadam yupo na mama yake bwana uyu mwenyekiti wa ccm vipi ,au ni madhara ya kurujuani?
 
Eeehee wa wapi wee?!!

Unaiwekea siasa mipaka ?!!

Mbinu za siasa hazina mipaka unayojifunga nayo wewe....

Umesahau kauli ya CCM kuwa wana mbinu zaidi ya 1000....

#Tanzania taifa la ujamaa na kujitegemea[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
we endelea tu kuleta ujinga ujue Asp Haji keshatoka ngorongoro na ssp fatuma anakupimia tu
 
Siasa haina mbinu zenye mipaka mpwa....

Umesahau 10 D's?!! [emoji1787]

Chifu Hangaya hakoseagi [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hajawahi kuwepo.....

Ndiyo tu amejitikeza miaka 2 tu iliyopita.......

Awe hajawahi kukosea lini na wapi......?

Kama ni ktk miaka yake hii mi2, juzi kwenye issue ya Masai - Ngorongoro kakubali kukosea na kula matapishi yake......

Usifikiri hiyo ni "retreat". Hapana huko ni ku - surrender kabisa na ndo imetoka hiyo.....

That's the beginning. Tuendako mtaona ambayo yatawashangaza wengi....!!
 
Kiongozi ni baba/mama
 
Siasa haina mbinu zenye mipaka mpwa....

Umesahau 10 D's?!! [emoji1787]

Chifu Hangaya hakoseagi [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hajawahi kuwepo.....

Ndiyo tu kajitokeza miaka 2 iliyopita na kupata Urais wa kurithi by default.....

In this scenario, awe hajawahi kukosea lini na wapi......?

Kama ni ktk miaka yake hii mi2, basi elewa tu kuwa amekosea mengi sana. Na juzi kwenye issue ya Masai - Ngorongoro kakubali kukosea na kula matapishi yake......

Usifikiri hiyo ni "retreat". Hapana huko ni ku - surrender kabisa na ndo imetoka hiyo.....

That's the beginning. Tuendako mtaona ambayo yatawashangaza wengi....!!
 
1. SSH ni mwanamke. Na mama Kwa wanae, pia ni mke Kwa mumewe.

2. Ila Rais SSH Hana kabila, dini, Kanda Wala jinsi, ni kiongozi ,ni Cheo. Mtumishi na mwajiriwa wa wananchi.
 
Amepuyanga. Mara Simba mara mbwa mara mwanangu. Amwitr Lissu mdogo wake sio mwanaye.
 
Atamuita majina yote. Simba, mwanangu etc.
 
SSH ni mwanamke. Na mama Kwa wanae.

Ila Rais SSH Hana kabila, dini, Kanda Wala jinsi, ni kiongozi ,ni Cheo. Mtumishi na mwajiriwa wa wananchi.
Akina Mkunazi Njiwa hata hawaelewi haya......

Huyu bibie tayari hofu ya kike imeshaanza kumsumbua.........

Huyu mwanamke hakustahili na hapaswi kustahili kupewa jukumu hili la kuongoza nchi. She's absolutely unfit......!
 
Yule Si mamaetu,

Mama hakaripiwi, hakemewi Wala kuulizwa pesa za umma zilizoibwa, zinarudishwaje nk nk

Lakini mwajiriwa wa wananchi anafokewa, anakaripiwa, anahojiwa jinsi anavyosimamia tulichontuma kikatiba na Sheria nk nk.

Mimi nina mama yangu, wewe je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…