Bi. Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT) ni mwanamke. Alizaliwa tarehe
27/1/1960 Umri wake Sasa ni miaka 64..............
View attachment 3079238
Tundu A. M. Lissu (Makamu M/Kiti CHADEMA Taifa Upande wa Tanganyika na mgombea Urais ktk uchaguzi mkuu wa 2020) ni mwanamume. Alizaliwa tarehe 20/1/1968. Umri wake kwa Sasa ni miaka 56...........
View attachment 3079239
Tofauti yao kiumri kati ya
Bi. Samia Suluhu Hassan na
Tundu Lissu ni miaka 8 kwa maana kuwa Samia Suluhu Hassan ni mkubwa kiumri kwa TL kwa miaka 8 tu...........
Juzi akiwa kwao Zanzibar, kamwita Tundu Lissu "
mwanangu". Sijui kwa kutumia kigezo kipi. Je, kwa kigezo kuwa "kila mwanamke ni mama...?"
Lakini kama ametumia kigezo cha Umri, hapo atakuwa amechemka vibaya. Kwa vyovyote and by default hawezi kumzaa Tundu Lissu ktk Umri wake wa miaka 8........!!
Nadhani there's something wrong with this mama. Binafsi, naitazama na kuitafsiri hii "
joke" ya huyu mama dhidi ya TL in a very serious note.....
Bila shaka, Tundu Lissu keshamshanganya kiasi cha yeye na kambi yake huko ikiongozwa na
Lucas Mwashambwa kwa mbali akisaidiwa na
Tlaatlaah kukabiliwa na tatizo sugu linalojulikana kwa lugha ya malkia wa Uingereza kama "
tunduphobia syndrome.........!!"
Hakika kabisa huyu mama kumwita mwanamume aliye karibu kwa 99% kulingana naye kiumri "Mwanangu" ni kupitiwa na kuchanganyikiwa kwa kiwango cha juu sana.......!
Siku zote amekuwa akim - address kama "mdogo wangu". Wewe unafikiri juzi ikawaje aanze kumwita "mwanangu.....???"