Rais Samia Suluhu, Kuzaliwa 20/1/20/1960 [64], Tundu Lissu, kuzaliwa 21/1/1968 [56]. Kwa takwimu hizi ni kwa vipi Lissu anaweza kuwa “mtoto wa Samia”?

In politics, mwanamke mliye sawa naye kiumri akianza kujitetea kwa kauli kuwa "hujui Mimi ni mama yako", tambua mara moja kuwa ameshalegea, yuko tayari kutoa chochote........

Hii ni tabia ya "Delilah" yule mwanamke mnafiki wa kwenye biblia aliyejifanya kumpenda Samson, mnadhiri wa Mungu.......!!
Siasa haina mbinu zenye mipaka mpwa....

Umesahau 10 D's?!! [emoji1787]

Chifu Hangaya hakoseagi [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kuwa mwerevu kwako dadangu Tusekelege....

Mimi mnyakyusa kama ulivyo wewe....kule kwetu Matema ,dada ana thamani sana....sisi ni MATRILINEAL....

Sikushangaa mh.Rais Samia kupewa uchifu wa Hangaya...

Sitoacha dada zangu kuwaita mama kwani simaanishi mama mzazi aliyenizaa....

Ya mtoto wa MWENZAKO NI MWANAO[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwenye siasa hakuna kitu kama hicho....

Kwenye siasa hakuna ishu za "matrilineal"......

Huyu ameshalegezwa na hiyo kauli yake ni ya kujitetea tu lakini in hypocrite manner.....

Huyu mama "Tundulissuphobia syndrome" imeshamlegeza.......

Tayari alishawekwa kwenye angle ya "The fear of the defeat........."
 
Changamoto ilianzia pale tulipo weka umama kwenye nafasi ya uongozi, kila mtu mama mama! Kila kitu mama mama!
Kwa hio wote anatuona kama wanae .
Hupo sahii , kuitwa mama kila mtu anamuona mwanae.
Note
Kila binadam yupo na mama yake bwana uyu mwenyekiti wa ccm vipi ,au ni madhara ya kurujuani?
 
Kwenye siasa hakuna kitu kama hicho....

Kwenye siasa hakuna ishu za "matrilineal"......

Huyu ameshalegezwa na hiyo kauli yake ni ya kujitetea tu lakini in hypocrite manner.....

Huyu mama "Tundulissuphobia syndrome" imeshamlegeza.......

Tayari alishawekwa kwenye angle ya "The fear of the defeat........."
Eeehee wa wapi wee?!!

Unaiwekea siasa mipaka ?!!

Mbinu za siasa hazina mipaka unayojifunga nayo wewe....

Umesahau kauli ya CCM kuwa wana mbinu zaidi ya 1000....

#Tanzania taifa la ujamaa na kujitegemea[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bi. Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT) ni mwanamke. Alizaliwa tarehe 27/1/1960 Umri wake Sasa ni miaka 64..............
View attachment 3079238

Tundu A. M. Lissu (Makamu M/Kiti CHADEMA Taifa Upande wa Tanganyika na mgombea Urais ktk uchaguzi mkuu wa 2020) ni mwanamume. Alizaliwa tarehe 20/1/1968. Umri wake kwa Sasa ni miaka 56...........
View attachment 3079239

Tofauti yao kiumri kati ya Bi. Samia Suluhu Hassan na Tundu Lissu ni miaka 8 kwa maana kuwa Samia Suluhu Hassan ni mkubwa kiumri kwa TL kwa miaka 8 tu...........

Juzi akiwa kwao Zanzibar, kamwita Tundu Lissu "mwanangu". Sijui kwa kutumia kigezo kipi. Je, kwa kigezo kuwa "kila mwanamke ni mama...?"

Lakini kama ametumia kigezo cha Umri, hapo atakuwa amechemka vibaya. Kwa vyovyote and by default hawezi kumzaa Tundu Lissu ktk Umri wake wa miaka 8........!!

Nadhani there's something wrong with this mama. Binafsi, naitazama na kuitafsiri hii "joke" ya huyu mama dhidi ya TL in a very serious note.....

Bila shaka, Tundu Lissu keshamshanganya kiasi cha yeye na kambi yake huko ikiongozwa na Lucas Mwashambwa kwa mbali akisaidiwa na Tlaatlaah kukabiliwa na tatizo sugu linalojulikana kwa lugha ya malkia wa Uingereza kama "tunduphobia syndrome.........!!"

Hakika kabisa huyu mama kumwita mwanamume aliye karibu kwa 99% kulingana naye kiumri "Mwanangu" ni kupitiwa na kuchanganyikiwa kwa kiwango cha juu sana.......!

Siku zote amekuwa akim - address kama "mdogo wangu". Wewe unafikiri juzi ikawaje aanze kumwita "mwanangu.....???"
we endelea tu kuleta ujinga ujue Asp Haji keshatoka ngorongoro na ssp fatuma anakupimia tu
 
Siasa haina mbinu zenye mipaka mpwa....

Umesahau 10 D's?!! [emoji1787]

Chifu Hangaya hakoseagi [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hajawahi kuwepo.....

Ndiyo tu amejitikeza miaka 2 tu iliyopita.......

Awe hajawahi kukosea lini na wapi......?

Kama ni ktk miaka yake hii mi2, juzi kwenye issue ya Masai - Ngorongoro kakubali kukosea na kula matapishi yake......

Usifikiri hiyo ni "retreat". Hapana huko ni ku - surrender kabisa na ndo imetoka hiyo.....

That's the beginning. Tuendako mtaona ambayo yatawashangaza wengi....!!
 
Kiongozi ni baba/mama
 
Siasa haina mbinu zenye mipaka mpwa....

Umesahau 10 D's?!! [emoji1787]

Chifu Hangaya hakoseagi [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hajawahi kuwepo.....

Ndiyo tu kajitokeza miaka 2 iliyopita na kupata Urais wa kurithi by default.....

In this scenario, awe hajawahi kukosea lini na wapi......?

Kama ni ktk miaka yake hii mi2, basi elewa tu kuwa amekosea mengi sana. Na juzi kwenye issue ya Masai - Ngorongoro kakubali kukosea na kula matapishi yake......

Usifikiri hiyo ni "retreat". Hapana huko ni ku - surrender kabisa na ndo imetoka hiyo.....

That's the beginning. Tuendako mtaona ambayo yatawashangaza wengi....!!
 
1. SSH ni mwanamke. Na mama Kwa wanae, pia ni mke Kwa mumewe.

2. Ila Rais SSH Hana kabila, dini, Kanda Wala jinsi, ni kiongozi ,ni Cheo. Mtumishi na mwajiriwa wa wananchi.
 
Mwanamke ni mama....

Kwa heshima ya ulezi wa akina mama sishangai kumsikia mwanamama akimuita mwanaume aliyemzidi umri kuwa ni MTOTO WAKE....

Hili hutolisikia nchi za ulaya bali kwetu waafrika na mila zetu za heshima za kuutukuza UMAMA NA UBABA.....

Hakika chifu Hangaya ni mama wa wengi ,kiumri ,kimadaraka na kimamlaka......[emoji7][emoji7]

#Ewe Mwenyezi Mungu tutunzie mja wako Rais Samia Suluhu Hassan ,aaamin aaaamin[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Amepuyanga. Mara Simba mara mbwa mara mwanangu. Amwitr Lissu mdogo wake sio mwanaye.
 
Naam ukimuuliza mtu mzima aliyekulia Mahambe wilayani Ikungi atakunong'oneza kuwa ndugu TL ni msumbufu toka utoto wake....sijui ni "ADHD "?!!!

Ni Simba asiyetulia....

ADHD- Attention deficit hyperactive disorder.

#Nchi Kwanza[emoji7]
#Tuko na Simba wetu asiyetulia mh.Tundu Lissu[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Atamuita majina yote. Simba, mwanangu etc.
 
SSH ni mwanamke. Na mama Kwa wanae.

Ila Rais SSH Hana kabila, dini, Kanda Wala jinsi, ni kiongozi ,ni Cheo. Mtumishi na mwajiriwa wa wananchi.
Akina Mkunazi Njiwa hata hawaelewi haya......

Huyu bibie tayari hofu ya kike imeshaanza kumsumbua.........

Huyu mwanamke hakustahili na hapaswi kustahili kupewa jukumu hili la kuongoza nchi. She's absolutely unfit......!
 
Yule Si mamaetu,

Mama hakaripiwi, hakemewi Wala kuulizwa pesa za umma zilizoibwa, zinarudishwaje nk nk

Lakini mwajiriwa wa wananchi anafokewa, anakaripiwa, anahojiwa jinsi anavyosimamia tulichontuma kikatiba na Sheria nk nk.

Mimi nina mama yangu, wewe je?
 
Back
Top Bottom