Rais Samia Suluhu kuzuru Uganda Kesho Aprili 11 kwa mwaliko maalumu wa Rais Museveni

Dua mbaya haombolezewi mtoto
 
Hayupo sasa wanendeleza wengine
 
Tulia basi uandike kitu kinachoeleweka, kwani uko wapi na umekaa juu ya nini?
 
Upuuzi tupu Rais anapoteza hela za walipa kodi kwa kutembelea Uganda??! Really?? Uganda nchi maskini kuliko tz itatusaidia nini?? Hatuna Rais hapa


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mbona jiwe alikuwa anaitembelea hiyo uganda na hujawahi kumkosoa tena kwa kumvunjia heshima mama yetu rais wa nchi?
 
Waganda watasema kumbe Raisi wa Tanzania ni Hajat😁 ni pale watakapouona ushungi.
 
huyu ndiyo rais sasa.

siyo yule aliyekuwa kila baada ya dakika 30 anaingilia uhuru wetu wa kutazama tv.

he tresspassed our viewing rights for petty issues.

akitembelewa na chawa,lazima tbc wajiunge live.

akipikiwa ugari mbichi na mama janeth,lazima ajiunge live.

damnit!

bora huyu,mpaka sura yake mpaka tunaimiss!

at least awamu hii wale viongozi wa chini watapata wasaa nao kuzindua baadhi ya miradi.
 
Kila la heri madam president,make Tanzania greater again,like the way it was before mwendazake Eras...

Unazo dua zetuuu
Tupo pamoja kama watanzania ukiwaondoa wale waliokuwa wanajiaminisha kuwa watabakia kwenye utawala kwa maisha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…