Rais Samia Suluhu kuzuru Uganda Kesho Aprili 11 kwa mwaliko maalumu wa Rais Museveni

Nakuona unavyo andika ukiwa unabubujikwa na machoozi.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu Rais Samia anatoka CCM sio Chadema ujue
Huyu rais wa sasa anautwa SAMIA SULUHU HASSAN.

Huyu rais wa sasa ndiye amekubali kupokea ripoti ya CAG kama ilivyo tayarishwa na wahusika na kuwafanya watanzania wagundue kumbe chini ya jiwe ndiyo kipindi ufisadi umeshamili sana tokea tanzania ipate uhuru.
 
Huyo huyo ndio RAIS aliyetoka chama cha mapinduzi na CAG bab kubwa kachaguliwa na mwendazake sababu ya weledi alionao
 
Achana na hao fools....
hawana akili hawajui kwamba hizi zote ni jitihada za JPM mama anatekeleza tu
 
Huyo huyo ndio RAIS aliyetoka chama cha mapinduzi na CAG bab kubwa kachaguliwa na mwendazake sababu ya weledi alionao
Uzuri wa huyu mama kashaamua kuwatimua nyinyi CHAWA na SUKUMA GANG hawahitaji.
 
Achana na hao fools....
hawana akili hawajui kwamba hizi zote ni jitihada za JPM mama anatekeleza tu
Hakuna mradi wowote alioanzisha jpm, miradi yoote aliianzisha mh kikwete.

Wacha kuwadanganya watanzania kwa manufaa binafsi ya sukuma gang
 
Kumbe sasa mbona mnalalamikia fleiova,stend ya magufuli,daraja la busis bado lile bwawa la umeme
Hakuna mradi wowote alioanzisha jpm, miradi yoote aliianzisha mh kikwete.

Wacha kuwadanganya watanzania kwa manufaa binafsi ya sukuma gang
 
Jamaa alipiga pesa ,

So itakuwa Mama aliweka ngumu na kutaka kuvunja huo Mkataba [emoji3]
 
Mama yangu kafikaje hapa? Anyway I meant no offense, ila kama ile comment yangu imekukwaza ipotezee tu.
Sure, cha muhimu tuheshimiane kwa lugha zenye staha hata kama tuna mitazamo tofauti...
 
Mkuu naona unaumia sana CCM ni moja hakuna chawa wala sukuma gang ni msemo mlijipa kupata ahueni wakati ambao chama chenu hakina jipya. Poleni sana. Soon Rais Samia anapewa Uenyekiti
Vipi ushatoka chato kwenye zamu ya kulinda kaburi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…