Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
-
- #21
We basi utakua ni mdogo sana kiumriHuna HOJA.
Na Kwa taarifa Yako, Rais Hana mamlaka kuruhusu maandamano,
KATIBA ndiyo imetoa Ruhusa hiyo.
Kwani we umeona kwenye sheria hipi kuwa maandamano yanahitaji kibari cha Rais?Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais waliotangulia walikosa
Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania mpare sahivi ni billionaire kwa habari za umbeya alitishia maandamano nguvu ambazo magufuli alizitumia zilikua ni kubwa sana mixer ndege za kivita zilikua zinapita kwenye makazi ya watu alionyesha kutokua mstaarabu, kukosa busara na hekima kwa kiwango cha juu sana
Maandamano ya 2002 kulikua na matumizi ya nguvu makubwa mpaka lipumba amavunjwa mkono na watu kadhaa kuuliwa baadae mkapa alisema lile tukio analijutia sana ila anasema alishauriwa vibaya
Mnyonge mnyongeni ila kwenye hili Rais samia anahitaji pongezi sana
Rais wa Tanzania anauwezo wa kutokufuata sheria na hakuna cha kumfanyaKwani we umeona kwenye sheria hipi kuwa maandamano yanahitaji kibari cha Rais?
Hayo unaongea wewe,We basi utakua ni mdogo sana kiumri
Tanzania Rais ni Mungu mtu
Huyu Samia sasa ndiye Rais wa watu siyo yule marehemu wa Chato. Watu wanamuita Shujaa mtu mwoga na mwongo.Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais waliotangulia walikosa
Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania mpare sahivi ni billionaire kwa habari za umbeya alitishia maandamano nguvu ambazo magufuli alizitumia zilikua ni kubwa sana mixer ndege za kivita zilikua zinapita kwenye makazi ya watu alionyesha kutokua mstaarabu, kukosa busara na hekima kwa kiwango cha juu sana
Maandamano ya 2002 kulikua na matumizi ya nguvu makubwa mpaka lipumba amavunjwa mkono na watu kadhaa kuuliwa baadae mkapa alisema lile tukio analijutia sana ila anasema alishauriwa vibaya
Mnyonge mnyongeni ila kwenye hili Rais samia anahitaji pongezi sana
Kuna jitahada zimefanyika chini kwa chini kwa balozi za mataifa ya magharibi ndugu. Kuhusu Samia kukaza, upo sahihi. Angeweza kabisa kukataa maandamano yasiruhusiwe ila angelipia gharama kubwa sana ambayo hata yeye hataki. Kama ume-note ni kuwa rais Samia tangu aiangie kitu ambacho hataki kabisa ni kuwakasirisha ''mabeberu'' hivyo hata kama anataka kukataa ni ngumu...Issue ya wanajeshi ni RC tu alikurupuka, unadhani SSH angeamua kukaza asingeweza ?
Bas ni wa kulaaniwa sio kushukuriwaRais wa Tanzania anauwezo wa kutokufuata sheria na hakuna cha kumfanya
Umesema ukweli kabisa ambao hata Mwl Nyerere baba wa Taifa alisema kuhusu Katiba.Tanzania rais yupo juu ya katiba kama ulikua hujui
Ndo maana anaweza akazuia maandamano na hakuna wa kumfanya chochote
Rais ana hiari aifuate katiba au asipoifuate sababu hata asipoifuata huna cha kumfanya katiba ya Tanzania inategemea sana busara za aliyeko madarakani
Ona Aibu basi ndugu,Huyu Samia sasa ndiye Rais wa watu siyo yule marehemu wa Chato. Watu wanamuita Shujaa mtu mwoga na mwongo.
Madikteta wote huwa ni WAOGA sana, endelea kuungua na moto Magufuli
Kwani shida iko wapi? Mbona maandamano yapo?Ona Aibu basi ndugu,
Si ulijuapiza kuwa hapatakuwa na maandamano?
Jiandae kumpongeza pia CCM itakapobidhi Dola Kwa CDM na kuwa chama Cha upinzani 2025.
Uko sahihi. Lakini japo ni mungu mtu bado hana uhuru mkubwa kama ambavyo angetaka. Kuna ''mabeberu'' ambao wanatoa misaada inayofanya nchi itawalike. Kama akijifanya kichwa maji, ''mabeberu'' wakikata misaada wanaweza kuangusha serikali.Tanzania rais yupo juu ya katiba kama ulikua hujui
Ndo maana anaweza akazuia maandamano na hakuna wa kumfanya chochote
Rais ana hiari aifuate katiba au asipoifuate sababu hata asipoifuata huna cha kumfanya katiba ya Tanzania inategemea sana busara za aliyeko madarakani
Umefichwa wapi lile rungu la "Mama mkanye mwanao"?Kwani shida iko wapi? Mbona maandamano yapo?
Na hao wazungu walikuwepo na balozi zao.Inasemwa "mnyonge mnyongeni haki yake mpeni "
Magufuli alizuwia mikutano. Akazuwia maandamano. Akasema yeye hajaribiwi. Sote tulifyata mikia.
Sasa hapo asifiwe aliyeamua kufuata katiba, au tulaani waliokuwa wanavunja katiba? Yaani kutii katiba imekuwa utashi wa kiongozi, hadi akiitii inakuwa na jambo la kulazimisha asifiwe! Hii inaonyesha ni kwa kiwango gani uadilifu kwa viongozi wetu ni mdogo, Hadi akitii katiba inatakiwa asifiwe.Kauli ya wanajeshi hakutoa Rais
Nitajie Rais aliyeruhusu maandamano ya wapinzani bila bughdha yeyote ile nasubiria jibu
Ni kweliTanzania rais yupo juu ya katiba kama ulikua hujui
Ndo maana anaweza akazuia maandamano na hakuna wa kumfanya chochote
Rais ana hiari aifuate katiba au asipoifuate sababu hata asipoifuata huna cha kumfanya katiba ya Tanzania inategemea sana busara za aliyeko madarakani
Rais Samia tayari ameingia katika Kitabu Cha KUMBUKUMBU, Marais wa kiume wote waliogopa maandamano, mama ameonyesha moyo wa mama mlezi. Aliyepita alisema uchaguzi ukiisha basi hakuna mikutano mpaka miaka 5 ipite, mama mlezi ameruhusu. Aliyepita alisema mwanafunzi anayezaa akiwa shule asirudi shuleni, Mama mlezi ameruhusuKipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais waliotangulia walikosa
Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania mpare sahivi ni billionaire kwa habari za umbeya alitishia maandamano nguvu ambazo magufuli alizitumia zilikua ni kubwa sana mixer ndege za kivita zilikua zinapita kwenye makazi ya watu alionyesha kutokua mstaarabu, kukosa busara na hekima kwa kiwango cha juu sana
Maandamano ya 2002 kulikua na matumizi ya nguvu makubwa mpaka lipumba amavunjwa mkono na watu kadhaa kuuliwa baadae mkapa alisema lile tukio analijutia sana ila anasema alishauriwa vibaya
Mnyonge mnyongeni ila kwenye hili Rais samia anahitaji pongezi sana
EUmefichwa wapi lile rungu la "Mama mkanye mwanao"?
Hata mimi nampongeza Samia kwa hili tuache utani kafanya jambo kubwa ambalo wengi liliwashindaKipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais waliotangulia walikosa
Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania mpare sahivi ni billionaire kwa habari za umbeya alitishia maandamano nguvu ambazo magufuli alizitumia zilikua ni kubwa sana mixer ndege za kivita zilikua zinapita kwenye makazi ya watu alionyesha kutokua mstaarabu, kukosa busara na hekima kwa kiwango cha juu sana
Maandamano ya 2002 kulikua na matumizi ya nguvu makubwa mpaka lipumba amavunjwa mkono na watu kadhaa kuuliwa baadae mkapa alisema lile tukio analijutia sana ila anasema alishauriwa vibaya
Mnyonge mnyongeni ila kwenye hili Rais samia anahitaji pongezi sana
Yule alikuwa ni muuaji haswa, Samia pamoja na mapungufu yake mengi kwa hili nipo nayePiga picha ingekua kipindi cha magufuli au mkapa alafu ndo kuna haya maandamano nakuhakikishia sahivi ingekua damu imeshamwagika