eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
Tusiwe wanafiki, hili la kuruhusu maandamano apongezwe, jambo hili liliwashinda Marais wa kiume wote watano, yeye kaliweza, tayari ameingia katika Kitabu Cha KUMBUKUMBU. Rais aliyepita alisema mkurugenzi ambaye eneo lake atachaguliwa mpinzani Hana kazi, mama mlezi aangalie chaguzi zijazo aruhusu sanduku la kura lichague aliyechaguliwa na Wananchi. Tumpongeze japo yupo kwenye Chama kinachofurahia dhulma.View attachment 2881581
Huyo raisi mwenyewe hata ana habari
basi nini kinaendelea Tanzania, muda huu yupo zake Indonesia huko.
Hiki ndo kitu ambacho hawaelewiTusiwe wanafiki, hili la kuruhusu maandamano apongezwe, jambo hili liliwashinda Marais wa kiume wote watano, yeye kaliweza, tayari ameingia katika Kitabu Cha KUMBUKUMBU. Rais aliyepita alisema mkurugenzi ambaye eneo lake atachaguliwa mpinzani Hana kazi, mama mlezi aangalie chaguzi zijazo aruhusu sanduku la kura lichague aliyechaguliwa na Wananchi. Tumpongeze japo yupo kwenye Chama kinachofurahia dhulma.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Rais ana kinga ya kutokustakiwa mafisadi watahukumiwa hata huko baadae kumbuka jinai jinai haiexpireHivi haya mafisadi yanayoiba sasahivi hayavunji katiba? Neno uvunjaji katiba mmelishikilia sana kwa magufuli mmeona ndio neno zuri la kumchafua mbona mafisadi yapo huru sasahivi je hiyo katiba haivunjwi
Tusiwe wanafiki, hili la kuruhusu maandamano apongezwe, jambo hili liliwashinda Marais wa kiume wote watano, yeye kaliweza, tayari ameingia katika Kitabu Cha KUMBUKUMBU. Rais aliyepita alisema mkurugenzi ambaye eneo lake atachaguliwa mpinzani Hana kazi, mama mlezi aangalie chaguzi zijazo aruhusu sanduku la kura lichague aliyechaguliwa na Wananchi. Tumpongeze japo yupo kwenye Chama kinachofurahia dhulma.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Naona pumbavu la mbowe liko hooooi baada ya kuzunguka kama machinga kutwa nzima bila mpangilio.Naona Mazezeta wa Mapambio mumeaza kuibuka.
Anajua nn? Kuuza bandari kwa waarabu ama kuipendelea Kizimkazi?Wewe kwenye siasa sio mtu wa kawaida. Unajua hawaamini?!!!
Acha ujinga wako hapa wewe. Bandari ipi iliyouzwa?Anajua nn? Kuuza bandari kwa waarabu ama kuipendelea Kizimkazi?
Mbona uko frustrated hivyo, hayajafana maandamano?!!! Sasa wewe ulizaliwa vp kwa wahadzabe?!!! Si ungekuwa muarabu tu ukanunua na wewe. Mburura km nyue mama wala hatumii nguvu, akili tu basi.Anajua nn? Kuuza bandari kwa waarabu ama kuipendelea Kizimkazi?
Wapi nyumbani ukamuandalie chakula mumeo anatoka kwny maandamano.Nimekosea njia kumbe uzi wa machawa ...sorry
Mabwege tu hayo yanaropoka ropoka tu.Acha ujinga wako hapa wewe. Bandari ipi iliyouzwa?
Karibu sana!Bongo bwana....
Kwakweli hilo halina shaka tu mpaka sasa.Rais Samia Ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Aliinuliwa na mkono wa Mungu na hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu yeyote yule.
Kabusa, umenena vema sana.CHADEMA leo hadi aibu, wametembea hovyo na majoto hakuna walichokipata, maana walitaka wapigwe alafu ndio taarifa isambazwe kuwa hakuna demokrasia Tanzania, bahati nzuri Mama Samia kawafunza somo, kuna mmoja alisema tunasubiri tupigwe alafu warushe, sasa wako kimyaaa
Kesho wakiandamana tena wataona mbona hata vurugu kidogo polisi hawaleti, bila vurugu CHADEMA ni kama haipo
FYI, hata sasa hivi wakipigwa hakuna duniani watawasikiliza sbb dunia iko busy na vita vya Israel vs Hamas, Russia vs Ukraine, US kuwapiga Houthis, pia US kuna campaign kali sana za primaries ndani ya vyama kuwapa wagombea Urais, so dunia iko busy na mambo yao, infact ingekuwa mimi ndio mh Rais, saa hivi akina Mbowe, Mnyika, Lissu, Lema, na wengine wanalia lia tu na kutenguliwa miguu, mikono, uti wa mgongo saa hizi wangelia sana nasema kweli, ningewachapaa wee, maandamano wakafanyie mitandaoni ingekuwa mimi, ila Mh Rais wetu Mama Samia, Mungu akulinde,