Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

Hajafikia hadhi ya kuwekwa kwenye fedha maana hakuna alicho fanya akawazidi wenzie walio pitaunafiki sio mzuri sema kwake makelele yalikuwa mengi sana kumtukuza.
ndo ufikirie sasa,kwanini watu wengi hivo wampigie kelele
 
Lipuuzi hilo jamaa lililoleta thread hayo ndio mapotoshaji moods muwe mnafuta thread zenye lengo la kupotosha...
We jamaa kichwani una akili au kamasi? Inamaana unataka kupinga kwamba Mh.Rais hajasema hayo?
 
Mfalme juha alipenda kusifiwa hata akiwa uchi umwambie kapendeza sana na anavutia.
Sasa si kafa?? Kwanini watu walie,hadi wapoteze maisha?? Kwanini,..
Tafadhali jaribu kuficha upumbavu wako mbele ya hadhara hii
 
Mama amekubali, amesema hata kama wataona vigezo havijakidhi basi watawaelekeza ili vigezo vikidhi

Ndio nimeanza kumuona huyu mama hamna kitu

Basi Butiama, Mkuranga, Bagamoyo, Masasi nazo zingefanywa mkoa basi kwa kuwa nazo zimetoa viongozi waliofanya makubwa tu

Unaipa chato kuwa mkoa wakati kuna mikoa mikubwa kama Morogoro haijagawanywa
True kumuenzi mtu sio kwa kuvunja utaratibu
 
Mama amekubali, amesema hata kama wataona vigezo havijakidhi basi watawaelekeza ili vigezo vikidhi

Ndio nimeanza kumuona huyu mama hamna kitu

Basi Butiama, Mkuranga, Bagamoyo, Masasi nazo zingefanywa mkoa basi kwa kuwa nazo zimetoa viongozi waliofanya makubwa tu

Unaipa chato kuwa mkoa wakati kuna mikoa mikubwa kama Morogoro haijagawanywa
Unadhani maeneo mengine hayataki kuwa mikoa? Unadhani hayajui vigezo?
Ndiyo imeisha hivyo.
Geita ilimegwa kutoka Mwanza iwe mkoa, Chato ilikua ni kati ya sifa za Geita kuwa Mkoa (Taa za barabarani)
Acha Chato iendelee kuupamba mkoa wa Geita.
 
Back
Top Bottom