Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Team magufuli mwacheni mama afanyekaziHakika huyo anayemshauri Mh. Rais Samia Suluhu kwamba Tanzania kuna corona anampotosha!
Kwa nchi ilipofikia huko tumevuka na tumepita, mabeberu walituaminisha tutakufa na kuokota maiti barabarani lakini hii haikutokea
Wameenda mbali zaidi kututisha kwa second version ya corona ni tishio lakini Waswahili tunaendelea na maisha yetu kama kawaida.
Tanzania hii haina corona, rais tuwache tuendelee na maisha tuliyozoea kwani naziona dalili za kuzuia mikusanyiko na lockdown
nani kamzuia?Team magufuli mwacheni mama afanyekazi
Sio kila mtu ni mtaalam!Ulimuona kavaa barakoa? Acha ramli?
Wale wagonjwa waliotoroka Amana walikuwa wanaumwa nini? Au unataka hadi igonge hodi kwenye familia yako ndio uamini ipo.nani kamzuia?
Covid haipo Tanzania
Akina Maria Sarungi wamekwisham-fix Rais wetuHakika huyo anayemshauri Mh. Rais Samia Suluhu kwamba Tanzania kuna corona anampotosha!
Kwa nchi ilipofikia huko tumevuka na tumepita, mabeberu walituaminisha tutakufa na kuokota maiti barabarani lakini hii haikutokea
Wameenda mbali zaidi kututisha kwa second version ya corona ni tishio lakini Waswahili tunaendelea na maisha yetu kama kawaida.
Tanzania hii haina corona, rais tuwache tuendelee na maisha tuliyozoea kwani naziona dalili za kuzuia mikusanyiko na lockdown
Ww Mfumo dume tu huna lolote! Mama yuko vizuri na atatuvusha....huyo mama kamwe hawezi kuongoza Nchi
Nani amefariki katika familia ya baba yako hapo kwenu kisa covid?Wale wagonjwa waliotoroka Amana walikuwa wanaumwa nini? Au unataka hadi igonge hodi kwenye familia yako ndio uamini ipo.
Hii ndio shida ya jf kutumia fake id, huenda uliyeniandikia ni mume wa dada yako ninayekulisha, naihudumia familia yenu, unagombania remote ya tv seating room kwangu na beki 3, na bando nimekununuliaMods tafadhalini sana,tafuteni njia ya kuchuja wana Jamii Forum ili tusijd kukutana na wadada wasaidizi wetu wa nyumbani.
Hivi kuna mahali katika kuongea kwake alisema habari za lockdown? Nauliza tu pengine nilipitwa na hiyo hotubaMadam President awe Makini sana na Hili, Corona Imefika Ukingoni sisi ndio tunataka Kuanza Kujiingiza Kwenye Mitego ya Chanjo na Lockdown. Hali Ingekua Ni mbay Kiasi hicho Tungezishuhudia Maiti barabarana Kama Tulivyoaminishwa.
Wewe ni sukuma gang...huyo mama kamwe hawezi kuongoza Nchi
Hamna namna mkuu. Ni kugombania remote tu ndo kitu kilichobaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ndio shida ya jf kutumia fake id, huenda uliyeniandikia ni mume wa dada yako ninayekulisha, naihudumia familia yenu, unagombania remote ya tv seating room kwangu na beki 3, na bando nimekununulia
Hakika huyo anayemshauri Mh. Rais Samia Suluhu kwamba Tanzania kuna corona anampotosha!