#COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

Nadhani ndugu una stereotype. Labda utukumbushe tu kama ulishawahi kusikia kitu cha namna hii tangu COVID 19 ilipotangazwa rasmi kuwa janga mwezi Machi 2020. Hatuwezi kujitenga na ukweli COVID 19 imeondoka na wapendwa wetu. Kama nchi hatukuwa na mkakati wa kitaifa juu ya namna ya kushughulikia COVID19. Wacheni upuuzi. Madam President amesema vizuri sana anaunda kamati ya kitaalam ifanye utafiti ilete mapendekezo serikalini. Ni hii ndio leadership ndugu yangu.
 
Tuache kupiga ramli chonganishi tumwache Mama yetu achape kazi.
 
Vipi nazile habari tunazosikia kuwa chanjo inafawanya damu zigande,kama taifa tunaweza kulihandle vipi hili??
Ndio maana Rais kasema wataunda team ya wataalamu, by the way mpaka sasa nina ndugu zangu na rafiki zaidi ya kumi waliopewa chanjo tayari na hakuna aliedhurika, nadhani changamoto ipo lakini we should also consider the positive side of it
 
Kama wataleta hizo chanjo ziwekwe kwa atakaye tu, tusilazimishane,
Binafsi sitaki hata kuzisikia/kuisikia.
 

Kama umeajiriwa na unalipwa kwa kueneza propoganda za kinafiki ni kusaidie je? Takwimu z vifo vya korona huko zinapotolewa zimesaidia nini?

Hujui Mganga mkuu wa Uingereza kasema wataishi na corana kama flu. Kwa nini asiseme wataishi nayo kama covid 19? Hujui hilo neno flu ndio hii nimonia na taabu ya kupumua inayo andikwa kwenye vyeti hapa kwetu na hekima yake hiyo ya kuwaondolea watu hofu na woga ya JPM almaruhumu mnainanga na hamuioni. Anaye inanga na wapambe wake hawaoni ujasiri wa kutovaa barakoa walioambukizwa na hekima hii..
 

Mpuuzi ni wewe unayetaka tu amini hapakuwepo kamati.
 
Tuache kupiga ramli chonganishi tumwache Mama yetu achape kazi.

Hakuna ramli chonganishi hapa. Tena wengine tunasema hivi kwa sababu ya kumpenda na tuna muombea pia. Hatumsaidii huyu kinafi bali kwa kumuambia kweli ambayo akizingatia itamsadia na kumuweka huru kweli kweli.
 
Utakuwa mwanamtandao wa Sukuma Gang wewe.
 
Ndio maana Rais kasema wataunda team ya wataalamu, by the way mpaka sasa nina ndugu zangu na rafiki zaidi ya kumi waliopewa chanjo tayari na hakuna aliedhurika, nadhani changamoto ipo lakini we should also consider the positive side of it
Kwa hiyo unajisikia fahari ww pata chanjo za hovyo.....
siku utaona hiyo mbususu yako imegeuka chura ndio utajua hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…