ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Yatakiwa ijulikane wazi, hapa kwetu kuna kiwango gani cha maambukizi. Kuendelea kujidanganya kwa kuficha uhalisia INAWEZA kuja kuwa na madhara makubwa mbeleni.Hakuna jipya hapo, kama ni kutangaza wagonjwa je ameamua kuzuia watalii?
Nimesikia anataka watalii je kama covid ni nyingi watakuja au?
Je, mko tayari kufungiwa mikoa na kupunguza muingiliano?
Muko tayari kuwekewa karantini ya masaa ya kutembea?
Sioni kama hata wanao fulahi wakikaa kimya zaidi tena ya kupinga.
Wewe umejuaje?Kuwa makini sana na unachokitamani
Ivi unajua Tz ni kati ya nchi chache ambazo hazijaathirika sana na cv 19
Wewe umejuaje?Kuwa makini sana na unachokitamani
Ivi unajua Tz ni kati ya nchi chache ambazo hazijaathirika sana na cv 19
Aisee kweli kabisa uelewa wako upo down sana....poleTumeumbwa na uelewa tofauti, naheshimu level yako ya uelewa
Practically haiwezekani. Niamini! Nimeshakaa kwenye maendeo yenye lockdown na najua inamaanisha nini. Dar practically haiwezekani. Tena inaweza kuongeza tatizo kuliko kuleta ufumbuzi.inawezekana ndio..kama nairobi,kampala,johannesburg na miji mikubwa kuliko dar walifanya hapa serikali ikiamua watashindwa nn? ndio maana tunaomba isitokee mtawala akapata mawazo hayo itatuumiza watz.
Hivi yule aliyeuza kiholela nyumba za serikali na baadae kununua kivuko kibovu alilipishwa kabla ya kwenda zake?hauko interested na politics, lakini mtendaji mtaani kwenu akila hela ya madawati unaanza kulia, mwisho wa siku unajikuta unarudoi kwenye siasa
Chanjo lazima , hawezi kukubali mkose huduma kisa chanjo ,mtachanjwa tu akithibitisha kuna umuhimu huo.Acha watafiti wamalizeHivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?
Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.
Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
wewe unafikiri nini ambacho hakijafanywa na awamu iliyopita kupamban na hilo janga bila ya kwenda lockdown.?Practically haiwezekani. Niamini! Nimeshakaa kwenye maendeo yenye lockdown na najua inamaanisha nini. Dar practically haiwezekani. Tena inaweza kuongeza tatizo kuliko kuleta ufumbuzi.
tulia tu mkuu ugongwe mtama, upigwe sindano ya ndui, ni nzuri haina tatizo
Alikuwa hashauriki....Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?
Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.
Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Kw hii comment yako nimegundua nabishana na kilaza. Inamaana hatukuwa na uwezo wa kutengeneza barakoa mpaka tukachukuwe hizo zenye infection?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasome hiyo taarifa ya mganga mkuu wa Uingereza uielewe ndio uje kuongea hapa. jiulize kwanini hakusema kuanzia sasa hivi wataichukulia Corona kama flu, na kasema kuanzia June?
Barakoa Kila mtu je...usipovaa unakula bakora...unakataa au unakubali?Wafanye yote ila hatutaki kusikia lockdown.
Kwakweli ilikuwa tishio kutaja COVID 19 kuna hili tangazo, msikilize mtangazaji kwa makini uje na commentRais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu.
Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu.
Chanjo lazima , hawezi kukubali mkose huduma kisa chanjo ,mtachanjwa tu akithibitisha kuna umuhimu huo.Acha watafiti wamalize