Na wewe utafariki pia kwa uzembe kama bwana wako.Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?
Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.
Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Watu kama nyie hutujui mnaishi wapi,mpo duniani kweli?Mnaandika upuuzi tu,eti Uingereza sijui hamna lockdown,aliyekwambia nani?karibu asilimia 90 ya wanaoishi huko washapata chanjo ya kwanza, na asilimia 45 washapata ya pili na hadi kufikia juni watamaliza zoezi hilo.Unajidanganya, nyungu kama kawa na inafanyiwa utafiti na matokeo watapewa WHO waamue lakini nyungu ni tiba dunia itaitambua, Uingereza corona imewashinda wameamua kuchukua approach ya Tanzania ya kuishi nayo, no lockdown ,no carfew.Magufuli alikuwa akili kubwa alijua dude corona si la kuendea pupa, mtahangaika sana.
Barakoa zivaliwe kwa lazima ikibidiBarakoa Kila mtu je...usipovaa unakula bakora...unakataa au unakubali?
Na wewe utafariki pia kwa uzembe kama bwana wako.
Hahaha! Sasa kama mtu badala ya kushauriwa na wataalamu yeye ndio anawashauri wataalamu na akijua fika hawawezi kumbishia wafanyaje?Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?
Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.
Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Ukishajua kiwango utawatibu au utataka wafanye kufunga mikoa na kusafili kisha utapata faida?Yatakiwa ijulikane wazi, hapa kwetu kuna kiwango gani cha maambukizi. Kuendelea kujidanganya kwa kuficha uhalisia INAWEZA kuja kuwa na madhara makubwa mbeleni.
Huko uingereza wanapigwa chanjo lakini bado wanasema itabidi waishi nao kma mafua sasa hapo unasemaje kuhusu chanjo?Kwa sasa hivi ni too late, Chanjo tu kilichobakia
Chanjo zitasaidia kupunguza vifo haswa kwa Wazee na wenye magonjwa suguHuko uingereza wanapigwa chanjo lakini bado wanasema itabidi waishi nao kma mafua sasa hapo unasemaje kuhusu chanjo?
Hahaha! Sasa kama mtu badala ya kushauriwa na wataalamu yeye ndio anawashauri wataalamu na akijua fika hawawezi kumbishia wafanyaje?
Yupo mmoja alionya suala la nyungu akatenguliwa sasa utatoa wapi guts za kushauri? Acheni husda kwa Mama hata enzi zile watu walitolewa akili....tuvumiliane.
Unachoshangilia nini sasa!Nyungu na mauchawichawi mengine TUPA KULEEE. Mataga mtatotowaaaaaa mwaka huuu.
Kenya wamechanjwa na wameweka karantini kuingia nairobi, sasa huko wote ni wazee?Chanjo zitasaidia kupunguza vifo haswa kwa Wazee na wenye magonjwa sugu
Wao Waingereza wanasema hivyo kwa sababu wana Winter ambayo hata Flu huwa inawasumbua sisi hatuna Winter
Winter watu kukohoa kohoa na kupiga chafya sana
Sisi tukipata chanjo itatusaidia sana
Kinachotakiwa ni uwazi. Mengine hayo ni uoga wako mwenyewe usilishe watu maneno kama marehemu.Ukishajua kiwango utawatibu au utataka wafanye kufunga mikoa na kusafili kisha utapata faida?
Maana kujua kiwango bila kuchukua tahadhali ni ujinga.
Sielewi unapinga nini, ila Mama keshaamua kuachana na siasa za kijinga kwenye covid za Mwendazake.Kenya wamechanjwa na wameweka karantini kuingia nairobi, sasa huko wote ni wazee?
Haina namna mkuu. Ni bakora tuBarakoa Kila mtu je...usipovaa unakula bakora...unakataa au unakubali?
Umeipokea katika NEGATIVE WAY. Ni lini Tanzania iliundwa Task Force kuja na mapendekezo kwa Serikali? Tukumbushe kama ipo na wajumbe wake walikua akina nani?!Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?
Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.
Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Magu aliharibu sana hii nchi.
Umeipokea katika NEGATIVE WAY. Ni lini Tanzania iliundwa Task Force kuja na mapendekezo kwa Serikali? Tukumbushe kama ipo na wajumbe wake walikua akina nani?!
Kitu ambacho ni World Concern huwez kujitenga nacho, lazima tuwe na majibu, kama je chanjo iwepo au isiwepo na nini madhara ya kuwepo au kutokuwepo chanjo, je kama chanjo ni kampun za nchi gani Sputnik ya Russia au Astrazeneca au zile za US kama Jonhson and Johnson nk. Je ni makundi gani wachanjwe kama ikikubalika. Maswali hayo hapo juu bado kama Taifa hayajapatiwa majibu.
Hakuna Rais alikua mbishi kama Rais wa Brazil, ila COVID 19 ilileta athari sana kwa Brazil, akakiri kuwa ni tishio, sawa na Madagascar ambao nao wameamua kukubali chanjo. Asiyetaka kuchanjwa, ni hiari yake, ila asizuie wanaotaka kupata chanjo. Kwa mfano Chanjo ya Ugonjwa wa ini ipo na ni mandatory ukienda nje ya nchi(lakini domestically, watu hawana habari nayo)
Kwa hiyo sijaona ni kwa namna gani mama anataka hiyo unayodai ni siasa rahisi. Mama ni mwanadiplomasia, huo ni ukweli ulio dhahiri.
Tunashukuru mtangulizi wake(R.I.P) alitujengea ile hali ya kujiamini na kutuondolea hofu na ilitusaidia, sifa kubwa aliipata na ilisaidia, maana kihoro nacho ni ugonjwa mbaya kuliko ugonjwa wenyewe. Mwaka jana tulivuka salama.
Ila hali ikaja vibaya mwaka huu, trend ya January hadi mwishoni mwa February kama ulikua miji ya Dodoma, Dar, na Moshi na maeneo mengine hali ilitisha sana. Mungu ni mwema angalau March na April ile wave imekata.
Kwa hiyo, hatuwez kukaa tunasubiri wimbi moja liishe lije lingine, hii trend hadi lini, ni lazima kulifanyia kazi jambo hilo, kwa hapo mimi nampongeza Mh Rais wa sasa mama Samia.
Hatuwezi kumbeza Mh JPM(R.I.P) kwani alitutoa hofu na tulivuka salama, ila wave hii iliyopita majuzi ilitisha kwa kusema ukweli, lazima hatua fulani zichukuliwe kuliko kukaa endlessly.