Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Hata angezungumza Kiswahili, bado angezungumza vizuri kuliko wengine. Presentation is an art, not jus a matter of uttering words
 
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
The issue is not actually english, but even when speaking Zaramo, speak it in an appealing manner. I think that is what she did it well, while others have failed

Ndio Maana kwenye kazi za kimataifa ukienda kwenye usaili atatoboa mkenya, mganda na mnyarwanda kwa sababu wanaweza kujieleza na kujibu vyema hoja mbali mbali kwa lugha husika
 
Unajua shida yako iko hapa, Ata Tanzania watu wanajifunza kiingereza mpaka michepuo ya lugha ipo, suala la kujifunza ata Tanzania tunafanya, HOJA hapa hakuna ulazimaa Rais wa nchi yetu kuongea kiingereza kama mwenyewe hataki ,maana sio kosa wala sio jambo la kushangaza, Ata Waziri Mkuu wa India aligoma kuongea kiingereza mbele ya viongozi wa dunia pamoja kwamba anajua kiingereza, mwenyewe anapenda kuongea Kihindu kipi uelewi hapa
 
Nafurahi Kueleweka na Werevu ( Intelligent Members ) Wachache mnaopatikana hapa Jamvini JamiiForums. Heko sana Ndugu.
 
Communication Skills, Speech Delivering ni ngumu kwa watanzania wengi lazima tukubali Mama kajitahidi na katuondolea aibu iliyokua inatupata kwenye mikutano muhimu kama hiyo
 
Waziri Kalemani jana kanifurahisha sana nilicheka hasa.Alibadili mwelekeo mzima wa shughuli.Ilikuwa hivi shughuli nzima ilikuwa ikiendeshwa kiingereza akaja waziri Wa uganda aliyezungumza kabla kumkaribisha Dr kalemani alikuwa ni alitoa hotuba nzima kwa lugha ya kiganda tena bila ku
omba wakalimani watafsiri Dr Kalemani alipokaribishwa aongee akaongea kiingereza dakika chache kisha akasema Waziri mwenzangu wa Uganda kwa kuwa katumia lugha ya uganda na mimi mniruhusu nitumie lugha yangu ya taifa akatandika kiswahili toka mwanzo hadi mwisho.Baada ya kwenda kukaa naona waganda walienda kupeana onyo kuwa ile ni hadhira ya kimataifa marufuku kutumia kiganda.Kingereza kuanzia hapo ikawa lugha ya shughuli

Safi sana Dr.Kalemani
 
Usibishane naye huyo kwanza hajui hata kujenga hoja. Huja notice kwamba anafanya copy and paste kujibu kwenye kila comment inayosema tofauti na yeye?
 
Haya tufanye basi tuongee kiswahili, maana hata kiswahili wengine hawakijui sana tunaishia kupewa mifano ya ngono majukwaani sio vizuri
 
Hata angezungumza Kiswahili, bado angezungumza vizuri kuliko wengine. Presentation is an art, not jus a matter of uttering words

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Hatusemi lazima uwe competent kwenye maeneo yote lakini atleast uweze kuongea ueleweke ukosee structure lakini meaning ibakie ile ile,
 
Magufuli aliwa outsmart vipi WHO kwenye corona? UK wamecopy nini? Hebu acheni ujinga huu.
 
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…