Rais Samia tafadhali iheshimu Katiba maana wewe umekuwa Rais by Default kwa Katiba kuheshimiwa na kupiganiwa, ipiganie Katiba

1. Ruhusu mikutanoya Siasa iendelee maana iko Kikagtiba na kisheria.
2. Heshimi Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
3. Waondoe akina halina na wenzake bungeni. hawana uhalali wa Kikatiba na Kisheria kuwa pale!

MWISHO:
4. . Alisema Mkuu wa majeshi kuwa wali ilinda katiba kilipotokea kifo cha Magufuli, nadhani unajua walimaanisha nini na unajua maana yake nini. (The message ni kwamba kulikuwa na watu wanataka kutoiheshimu Katiba....wakakataa kuwa lazima katiba iheshimiwe)

Jumapili njema tukasari lkwa Wakristo
Mikutano haijawahi kukatazwa, kwa sab Lissu alifanya nchi nzima 2020, ACT wamefanya hivi karibuni na Heche yupo kusini huko anafanya, hapo katiba imevunjwaje?
 
Mkuu Retired , hivi mpaka leo ni zaidi ya mwaka, hujaujua tuu utendaji wa Samia?.
Mbona hili limekwisha kitambo pale tuu alipounda kamati ya Mkandala!, kilichobaki ni bado tuu kutangazwa!.
P
Ile tume ya mchongo ni kiini macho tupu. Mpaka serikali yake ya mpito ipite hakuna chochote anachoweza fanya huyu bibi.
 
marekani wakimaliza uchaguzi wanatulia kuacha serikali ifanye kazi ya kuwatumikia watu?
Stupid comparison, is Marekani Tanzania? Do you compare the USA with Tanzania in terms of democracy? Rubbish! Unaiga Marekani, Iga basi na kutoa social security money kwa watu ambao hawana ajira rasmi! Chawa mpuuzi wewe! Hivi vyama vinajijenga, vinahitaji kuwafikia watu all time througout the year kama wanavyafanya CCM!
You are a candidate for blocking! Maana I do not read any substance from your threads and posts!
 
1. Ruhusu mikutanoya Siasa iendelee maana iko Kikagtiba na kisheria.
2. Heshimi Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
3. Waondoe akina halina na wenzake bungeni. hawana uhalali wa Kikatiba na Kisheria kuwa pale!

MWISHO:
4. . Alisema Mkuu wa majeshi kuwa wali ilinda katiba kilipotokea kifo cha Magufuli, nadhani unajua walimaanisha nini na unajua maana yake nini. (The message ni kwamba kulikuwa na watu wanataka kutoiheshimu Katiba....wakakataa kuwa lazima katiba iheshimiwe)

Jumapili njema tukasari lkwa Wakristo
Baadhi ya kauli zake za hivi karibuni zimeshaanza kumuondoa kwenye uaminifu wa kuilinda katiba.

Mambo matwtu uliyoyaainisha ni msingì mkubwa kwake kurejesha imani ambayo tumeshaiondoa kwake
 
MWISHO:
4. . Alisema Mkuu wa majeshi kuwa wali ilinda katiba kilipotokea kifo cha Magufuli, nadhani unajua walimaanisha nini na unajua maana yake nini. (The message ni kwamba kulikuwa na watu wanataka kutoiheshimu Katiba....wakakataa kuwa lazima katiba iheshimiwe)
mama ameshasahau hili na sasa anaona wengine ndio wanatakiwa waheshimu maagizo na sio yeye kufuata katiba iliyomfanya hata akawa raisi!
 
Acha ubabaishaji wako wewe. Wakina Halima wenu nenda mkapambane nao huko mahakamani kisheria usitake njia za mkato. Suala la haki za binadamu naona ni Kama umelewa maana serikali Ni miongoni mwa serikali chache barani Afrika zinazozingatia misingi ya utawala Bora na sheria katika kuongoza serikali,ndio sababu husikii habari za matamko au mataarifa ya uvunjifu wa Haki za binadamu kutoka mataasisi ya kimataifa au wanaharakati.
Nakuhakikishia una tatizo kichwani kwako!
Sidhani kama unajua hata ulichoandika!
Bora ungekaa kimya kuficha ujinga wako!
 
1. Ruhusu mikutanoya Siasa iendelee maana iko Kikagtiba na kisheria.
2. Heshimi Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
3. Waondoe akina halina na wenzake bungeni. hawana uhalali wa Kikatiba na Kisheria kuwa pale!

MWISHO:
4. . Alisema Mkuu wa majeshi kuwa wali ilinda katiba kilipotokea kifo cha Magufuli, nadhani unajua walimaanisha nini na unajua maana yake nini. (The message ni kwamba kulikuwa na watu wanataka kutoiheshimu Katiba....wakakataa kuwa lazima katiba iheshimiwe)

Jumapili njema tukasari lkwa Wakristo
Mtakula mikutano ya hadhara. Mvua zimeanza acheni watu tulime
 
Acha ubabaishaji wako wewe. Wakina Halima wenu nenda mkapambane nao huko mahakamani kisheria usitake njia za mkato. Suala la haki za binadamu naona ni Kama umelewa maana serikali Ni miongoni mwa serikali chache barani Afrika zinazozingatia misingi ya utawala Bora na sheria katika kuongoza serikali,ndio sababu husikii habari za matamko au mataarifa ya uvunjifu wa Haki za binadamu kutoka mataasisi ya kimataifa au wanaharakati.

Suala la mikutano ya kisiasa lipo katika majadiliano ya kuona namna nzuri ya kufanya shughuli za kisiasa kwa vyama vya siasa na siyo kutaka mzurule zurule mitaani Kama kuku,hamuoni nchi Kama marekani wakimaliza uchaguzi wanatulia kuacha serikali ifanye kazi ya kuwatumikia watu?
Wewe ni mpumbavu fulani tu.
Kama ungekuwa na akili hata kidogo ungetambua hili...kwa akili yako unafikiri Watanzania wanafagilia huo ufala wa mikutano ya Chadema au CCM hata Chauma?...nchi ipo katika kipindi kigumu sana wewe bwege mtozeni....
Unajua bei ya kilo moja ya maharage?...
 
Kama unaona maharage Ni Bei nenda shambani ukalimee na wewe,kilimo Ni biashara acha wakulima nao wafaidi jasho lao
 
Yaani Rais unataka aheshimu katiba na wakati huo huo unataka aingilie mahakama?kwahiyo kina Halima haki Yao ya kimahakama na kikatiba aikanyage kukufurahisha wewe mwana Chadema.??halafu unataka aheshimu katiba? seriously?
Binadamu huwa tunataka jambo lifanyike kihalali pale linapoonekana linakufeva wewe. Ila huwa hatuangalii upande wa pili.
 
Nilishawahi kusema Mh Rais Samia asipoweka mambo sawa ipo siku ataihitaji Katiba Mpya kipindi ambacho haitawezekana tena.
 
1. Ruhusu mikutanoya Siasa iendelee maana iko Kikagtiba na kisheria.
2. Heshimi Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
3. Waondoe akina halina na wenzake bungeni. hawana uhalali wa Kikatiba na Kisheria kuwa pale!

MWISHO:
4. . Alisema Mkuu wa majeshi kuwa wali ilinda katiba kilipotokea kifo cha Magufuli, nadhani unajua walimaanisha nini na unajua maana yake nini. (The message ni kwamba kulikuwa na watu wanataka kutoiheshimu Katiba....wakakataa kuwa lazima katiba iheshimiwe)

Jumapili njema tukasari lkwa Wakristo
Tukasari=tukasali
Heshimu lugha ya taifa tafadhali.1
 
Back
Top Bottom