ALBINO MWEUSI TII
New Member
- Nov 26, 2022
- 3
- 0
Mikutano haijawahi kukatazwa, kwa sab Lissu alifanya nchi nzima 2020, ACT wamefanya hivi karibuni na Heche yupo kusini huko anafanya, hapo katiba imevunjwaje?1. Ruhusu mikutanoya Siasa iendelee maana iko Kikagtiba na kisheria.
2. Heshimi Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
3. Waondoe akina halina na wenzake bungeni. hawana uhalali wa Kikatiba na Kisheria kuwa pale!
MWISHO:
4. . Alisema Mkuu wa majeshi kuwa wali ilinda katiba kilipotokea kifo cha Magufuli, nadhani unajua walimaanisha nini na unajua maana yake nini. (The message ni kwamba kulikuwa na watu wanataka kutoiheshimu Katiba....wakakataa kuwa lazima katiba iheshimiwe)
Jumapili njema tukasari lkwa Wakristo