Rais Samia tafadhali sana…..

Kuna yule fala mwingine Mulugo alisema kuwa Tanzania ilipatikana baada ya Tanganyika kuungana na Zimbabwe!🤣🤣
 
Nakubaliana nawe jambo moja kwenye maelezo yako...AACHE UVIVU!.
Hivi jamani iyo mikataba 15 aliyosaini inahusu nini?maana Bibi Mchele Sina Imani naye kabisa kwenye mikataba!
 
Wewe jamaa!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa KATIBU WA RAIS ni Waziri Salum kutwa anathinda INSTAGRAM kupost picha unategemea anamuandalia Hotuba gani Rais, Urais ulianza kufanywa mwepesi na Magufuli sasa wngine wote wanaona wanaweza kuwa Marais.
Siyo Magufuli ni wakati wa JK na 2015 kila mtu alijiona anaweza kuwa Rais.
 
Hakukumbuka msemo wa kikwere wa "za kuambiwa changanya na zako", huenda amepotoshwa na aliyemuandalia hiyo speech
 
Usije ukaitwa kujieleza, shauri yako.
Nyerere ilikuwa ni kipindi cha Djawaral Nehru labda alikuwa ana maanisha Indira Ghandhi?
Nadhani angesema kuwa Tanganyika na India tuliunganishwa na mwingereza akiwa mtawala wetu na alichukuwa wataalamu toka India kufanya kazi Tanganyika, hii ni sahihi zaidi.
 
Kakosea, ni Indira Ghandhi.

Mambo ya kawaida hayo, hata nwendazake alisema saddam ni rais wa Kuwait.

Hapo ndiyo mneliona kosa hilo?

Watanzania kweli ni mapoyoyo.

Wanasiasa maarufu wa India, wenye j8na Ghandhi ni zaidi ya wawili, hakuna kosa hapo. kuna Mahatma, kuna Indira kuna Rajiv, kuna Sonia na wengine wengi tu.
 


Kausha, hivi Mama akikosea si una clear throat kama watu hawajashtuka, Wahindi wenye hawaelewi kingereza chake.
 
Kakosea, ni Indira Ghandhi.

Mambo ya kawaida hayo, hata nwendazake alisema saddam ni rais wa Kuwait.
Na waziri yule akiwa Afrika Kusini kwenye mkutano alisema Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.
 
Public speaking siyo nyepesi.

Ni kawaida tu hiyo.
Kiongozi ushindwe kuongea mbele ya watu! Yaani Shehe au Mchungaji ashindwe kuhubiri sawasawa! Labda bwana yule aliyeteuliwa kwa lazima wakati elimu yake haikidhi, matokeo akashindwa kusoma kiapo.
 
Mwenye ile video ya entrepreneur atuwekee tafadhali tujikumbushe kitu,

Aahahaahhhha mwisho akamalizia "hivyo hivyo tu"
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kiongozi ushindwe kuongea mbele ya watu! Yaani Shehe au Mchungaji ashindwe kuhubiri sawasawa! Labda bwana yule aliyeteuliwa kwa lazima wakati elimu yake haikidhi, matokeo akashindwa kusoma kiapo.
Kwani viongozi hawaendi chooni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…