Rais Samia tafadhali sana…..

Rais Samia tafadhali sana…..

Anzia dakika ya 9:25 mpaka 9:40.

View: https://www.youtube.com/live/PEzgcxu_A50?si=AFWVhAKOGy8b_VG7

Akiwa kwenye ikulu ya Rashtrapati Bhavan huko New Delhi, India, baada ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake kwenye ziara yake nchini humo, Rais Samia alipewa wasaa wa kusema machache.

Katika machache hayo aliyoyasema, Rais Samia kasema kuwa eti mahusiano katika ya Tanzania na India yaliasisiwa na Mahatma Gandhi na Julius Nyerere!

Sidhani kama hilo ni kweli.

Gandhi alikufa mwaka 1948. Mwaka huo huo Nyerere alikuwa bado ni mwalimu huko Tabora.

Sasa Gandhi na Nyerere walianzishaje hayo mahusiano baina ya hizi nchi mbili?

Huenda labda alimaanisha kusema Jawaharlal Nehru na Julius Nyerere? Kama alimaanisha hivyo, sawa.

Hii ni constructive criticism.

Awe anafanya ‘homework’ yake vizuri maana hii si mara ya kwanza yeye kusema vitu visivyo sahihi kwenye medani za kimataifa.

Kuna wakati aliwahi kusema kuwa Kamala Harris ndo mwanamke wa kwanza Marekani kugombea moja ya nafasi za juu kabisa nchini humo, kana kwamba hajui chochote kuhusu Geraldine Ferraro.

Aache uvivu. Awe anajiandaa vizuri kwa kusoma kabla hajafungua mdomo wake na kuanza kusema mambo yasiyo sahihi.

Tuna safari ndefu sana ya kupata maendeleo. Yaani kwenye speech yote ameona uchambue hilo? Kwann hukuamua kutuhabarisha mazuri aliyoyasema? Hovyo sana. Negative minde can never succeed in life. Because you don't see potentials in any thing. Shame on you.
 
Ni kweli
 
Kwani katoa hotuba gani hapo? Naona hata video hujaiangalia wewe. Mvivu wa akili kama alivyo Samia.
 
Waliokaribu naye watalifanyia kazi hilo
 
Nasemaje kama hapo yupo makamba , tutegeme futuhi nyingine
 
Katika machache hayo aliyoyasema, Rais Samia kasema kuwa eti mahusiano katika ya Tanzania na India yaliasisiwa na Mahatma Gandhi na Julius Nyerere!

Sidhani kama hilo ni kweli.

Gandhi alikufa mwaka 1948. Mwaka huo huo Nyerere alikuwa bado ni mwalimu huko Tabora.

Sasa Gandhi na Nyerere walianzishaje hayo mahusiano baina ya hizi nchi mbili?
Ni ulimi uliteleza tu Ila alimaanisha Indira Gandhi.
download (2).jpeg
images (2).jpeg
images (1).jpeg
download (1).jpeg
images.jpeg
download.jpeg
 
Anzia dakika ya 9:25 mpaka 9:40.

View: https://www.youtube.com/live/PEzgcxu_A50?si=AFWVhAKOGy8b_VG7

Akiwa kwenye ikulu ya Rashtrapati Bhavan huko New Delhi, India, baada ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake kwenye ziara yake nchini humo, Rais Samia alipewa wasaa wa kusema machache.

Katika machache hayo aliyoyasema, Rais Samia kasema kuwa eti mahusiano katika ya Tanzania na India yaliasisiwa na Mahatma Gandhi na Julius Nyerere!

Sidhani kama hilo ni kweli.

Gandhi alikufa mwaka 1948. Mwaka huo huo Nyerere alikuwa bado ni mwalimu huko Tabora.

Sasa Gandhi na Nyerere walianzishaje hayo mahusiano baina ya hizi nchi mbili?

Huenda labda alimaanisha kusema Jawaharlal Nehru na Julius Nyerere? Kama alimaanisha hivyo, sawa.

Hii ni constructive criticism.

Awe anafanya ‘homework’ yake vizuri maana hii si mara ya kwanza yeye kusema vitu visivyo sahihi kwenye medani za kimataifa.

Kuna wakati aliwahi kusema kuwa Kamala Harris ndo mwanamke wa kwanza Marekani kugombea moja ya nafasi za juu kabisa nchini humo, kana kwamba hajui chochote kuhusu Geraldine Ferraro.

Aache uvivu. Awe anajiandaa vizuri kwa kusoma kabla hajafungua mdomo wake na kuanza kusema mambo yasiyo sahihi.

Alaumiwe Kijana wake Makamba anayemuandaa kwa siku za baadaye kwa kushindwa kutofautisha Mahatma Gandhi na Rajiv Gandhi.
 
Back
Top Bottom