Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Amezingua, tatizo yeye anachoambiwa na kuletewa anakiamini kama kilivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu uzaliwe umewahi kumuona rais anakwenda.Kwani viongozi hawaendi chooni?
Hata sasa hivi amekwenda India.Tangu uzaliwe umewahi kumuona rais anakwenda.
NotedNyerere ilikuwa ni kipindi cha Djawaral Nehru labda alikuwa ana maanisha Indira Ghandhi?
Anzia dakika ya 9:25 mpaka 9:40.
View: https://www.youtube.com/live/PEzgcxu_A50?si=AFWVhAKOGy8b_VG7
Akiwa kwenye ikulu ya Rashtrapati Bhavan huko New Delhi, India, baada ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake kwenye ziara yake nchini humo, Rais Samia alipewa wasaa wa kusema machache.
Katika machache hayo aliyoyasema, Rais Samia kasema kuwa eti mahusiano katika ya Tanzania na India yaliasisiwa na Mahatma Gandhi na Julius Nyerere!
Sidhani kama hilo ni kweli.
Gandhi alikufa mwaka 1948. Mwaka huo huo Nyerere alikuwa bado ni mwalimu huko Tabora.
Sasa Gandhi na Nyerere walianzishaje hayo mahusiano baina ya hizi nchi mbili?
Huenda labda alimaanisha kusema Jawaharlal Nehru na Julius Nyerere? Kama alimaanisha hivyo, sawa.
Hii ni constructive criticism.
Awe anafanya ‘homework’ yake vizuri maana hii si mara ya kwanza yeye kusema vitu visivyo sahihi kwenye medani za kimataifa.
Kuna wakati aliwahi kusema kuwa Kamala Harris ndo mwanamke wa kwanza Marekani kugombea moja ya nafasi za juu kabisa nchini humo, kana kwamba hajui chochote kuhusu Geraldine Ferraro.
Aache uvivu. Awe anajiandaa vizuri kwa kusoma kabla hajafungua mdomo wake na kuanza kusema mambo yasiyo sahihi.
Indira Gandhi wakati wa kuanzisha non-aligned statesHuenda labda alimaanisha kusema Jawaharlal Nehru na Julius Nyerere? Kama alimaanisha hivyo, sawa.
Uandishi makini huwa haturudiirudii jambo uliloanza kulizungumzia, usiwe kama waandishi wa habari wa Tanzania wanaorudiarudia neno mpaka habari inakifu.Hata sasa hivi amekwenda India.
Anzia dakika ya 9:25 mpaka 9:40.
View: https://www.youtube.com/live/PEzgcxu_A50?si=AFWVhAKOGy8b_VG7
Akiwa kwenye ikulu ya Rashtrapati Bhavan huko New Delhi, India, baada ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake kwenye ziara yake nchini humo, Rais Samia alipewa wasaa wa kusema machache.
Katika machache hayo aliyoyasema, Rais Samia kasema kuwa eti mahusiano katika ya Tanzania na India yaliasisiwa na Mahatma Gandhi na Julius Nyerere!
Sidhani kama hilo ni kweli.
Gandhi alikufa mwaka 1948. Mwaka huo huo Nyerere alikuwa bado ni mwalimu huko Tabora.
Sasa Gandhi na Nyerere walianzishaje hayo mahusiano baina ya hizi nchi mbili?
Huenda labda alimaanisha kusema Jawaharlal Nehru na Julius Nyerere? Kama alimaanisha hivyo, sawa.
Hii ni constructive criticism.
Awe anafanya ‘homework’ yake vizuri maana hii si mara ya kwanza yeye kusema vitu visivyo sahihi kwenye medani za kimataifa.
Kuna wakati aliwahi kusema kuwa Kamala Harris ndo mwanamke wa kwanza Marekani kugombea moja ya nafasi za juu kabisa nchini humo, kana kwamba hajui chochote kuhusu Geraldine Ferraro.
Aache uvivu. Awe anajiandaa vizuri kwa kusoma kabla hajafungua mdomo wake na kuanza kusema mambo yasiyo sahihi.
Ila wewe kenge ulikuwa umezaliwaHapa hoja alifariki 1948 mama hajazaliwa.
Ccm inatukomesha Kwa KweliKuna yule fala mwingine Mulugo alisema kuwa Tanzania ilipatikana baada ya Tanganyika kuungana na Zimbabwe!🤣🤣
Hata wewe ilikuwa badoIla wewe kenge ulikuwa umezaliwa
Kwani katoa hotuba gani hapo? Naona hata video hujaiangalia wewe. Mvivu wa akili kama alivyo Samia.Tuna safari ndefu sana ya kupata maendeleo. Yaani kwenye speech yote ameona uchambue hilo? Kwann hukuamua kutuhabarisha mazuri aliyoyasema? Hovyo sana. Negative minde can never succeed in life. Because you don't see potentials in any thing. Shame on you.
Anzia dakika ya 9:25 mpaka 9:40.
View: https://www.youtube.com/live/PEzgcxu_A50?si=AFWVhAKOGy8b_VG7
Akiwa kwenye ikulu ya Rashtrapati Bhavan huko New Delhi, India, baada ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake kwenye ziara yake nchini humo, Rais Samia alipewa wasaa wa kusema machache.
Katika machache hayo aliyoyasema, Rais Samia kasema kuwa eti mahusiano katika ya Tanzania na India yaliasisiwa na Mahatma Gandhi na Julius Nyerere!
Sidhani kama hilo ni kweli.
Gandhi alikufa mwaka 1948. Mwaka huo huo Nyerere alikuwa bado ni mwalimu huko Tabora.
Sasa Gandhi na Nyerere walianzishaje hayo mahusiano baina ya hizi nchi mbili?
Huenda labda alimaanisha kusema Jawaharlal Nehru na Julius Nyerere? Kama alimaanisha hivyo, sawa.
Hii ni constructive criticism.
Awe anafanya ‘homework’ yake vizuri maana hii si mara ya kwanza yeye kusema vitu visivyo sahihi kwenye medani za kimataifa.
Kuna wakati aliwahi kusema kuwa Kamala Harris ndo mwanamke wa kwanza Marekani kugombea moja ya nafasi za juu kabisa nchini humo, kana kwamba hajui chochote kuhusu Geraldine Ferraro.
Aache uvivu. Awe anajiandaa vizuri kwa kusoma kabla hajafungua mdomo wake na kuanza kusema mambo yasiyo sahihi.
Msenge wewe, sipendi lugha za kukwazana, Post zangu huwa simkwazi mtu hata sikumoja.Ila wewe kenge ulikuwa umezaliwa
Na hilo tusi ulilotukana?Msenge wewe, sipendi lugha za kukwazana, Post zangu huwa simkwazi mtu hata sikumoja.
Ni ulimi uliteleza tu Ila alimaanisha Indira Gandhi.Katika machache hayo aliyoyasema, Rais Samia kasema kuwa eti mahusiano katika ya Tanzania na India yaliasisiwa na Mahatma Gandhi na Julius Nyerere!