Rais Samia tahadhari na tulia kidogo. Kazi zako Ikulu anazifanya nani?


Tangu safari Amerika mama hajakaa ofisini, yapata mwezi sasa mama yuko kiguu na njia.
 

Tangu safari Amerika mama hajakaa ofisini, yapata mwezi sasa mama yuko kiguu na njia.
 
Kama Marekani alikaa Siku 14 huku Uingereza atakaa Siku 28 na akienda China anakosubiriwa kwa Hamu kutokana na Urafiki mkubwa na wa Kihistoria wa hizi nchi Mbili kuna uwezekano akakaa huko hata Miezi Mitatu mpaka Sita.
Akienda bara la asia tutegemee miezi miwili huko maana alivyo na pupa atakaa kila nchi wiki mbili kuanzia uchina, japan, korea kusini..
 
Na wasisingizie vita coz vita imekuja juzi na ikakuta mafuta tayari yamesha panda almost lita ya diesel ilishafika 2350,wakati Magu aliacha diesel 1750
 
Anaendelea kuzifanya maana ikulu ipo kila sehemu.

Kazi ya Rais sio kufyatua matofari na Urais ni taasisi kwa hiyo ame delegate baadhi ya majukumu kwa VP,PM na wasaidizi wengine..

Ukitaka uende.kwa staili ya Mwendazake aliyetamani hadi kuwa IGP utakufa mapema na utashindwa na kuchukiwa juu..

Mnaomchukia Rais ni nyie wa mtaani ila wakuu wanamkubali na kufurahia kufanya Kazi nae maana amewapa nafasi washindwe wao..

Wewe hadi Waziri wa Ujenzi anazindua Ujenzi wa SGR kwa niaba ya Rais, Mwendazake angeweza hili? Aache kuchukua sifa?

Hapa yuko Ikulu ya Zanzibar kazini👇👇



 
born town,mzee, tanzanite,sk gang wanampa pressure, she is just hanging in the air; hajui hata la kufanya.Bado anawaza atalimpa ngapi mzee kwa ku-play role ya informer.
 
Elewa mada kabla ya kujibu.
Urais siyo pure delegation of powers, kuna kusimamia sera, consistence na perseverence.
Kwa mfano tu ni suala la kupandisha bei ya nafuta.
Kila kiongozi anaongea lake.
Waziri Mkuu anasema watafanya kila njia kuipunguza bei ya mafuta.
Mtu anajiuliza LATRA, EWURA, Waziri Mkuu ni serikali ile ile au?
 
Nani kafanya pure delegation ya power? Hizo attachment sio kazi za Rais anafanya?

LATRA,ewura nk wao wanafanya wajibu wao Sasa ni Kazi ya serikali kushughulikia matokeo na pia hizo taarifa za kuoandishwa bei serikali wanazo ndio maana huwezi Kuta wanasema hizo taasisi zilikosea na ndio maana na Rais alitetea kupanda Kwa bei sasa shida iko wapi hapo?

Serikali inafanya tathmnini Kwa bei hizi nini reactions na nini kitaathirika afu watakuja na jibu la katikati..

Serikali haifanyi Kazi kindezi kama wewe.
 
Mkuu una argue kimazoe na kukariri mambo.
Hadi bunge kujadili suala la mafuta, moja ya sekta ambayo sasa ni uncontrollable, ujue wananchi mambo yako shingoni.
Tusingojee mpaka vyakula vikakosa kufika mijini halafu kutokea riots kama za Sudan ndio tuamke.
Coordination za sekta zote hawezi kuachiwa PM ambaye kimsingi hajiamini sana.
Tusingojee disaster.
Ni ushauri tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…