JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
piraaaaaaKwani ameshaenda kwa Peter tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
piraaaaaaKwani ameshaenda kwa Peter tena?
Ningekuwa Admini wa Jamii Forum ninge kuleftisha.Nani kafanya pure delegation ya power? Hizo attachment sio kazi za Rais anafanya?
LATRA,ewura nk wao wanafanya wajibu wao Sasa ni Kazi ya serikali kushughulikia matokeo na pia hizo taarifa za kuoandishwa bei serikali wanazo ndio maana huwezi Kuta wanasema hizo taasisi zilikosea na ndio maana na Rais alitetea kupanda Kwa bei sasa shida iko wapi hapo?
Serikali inafanya tathmnini Kwa bei hizi nini reactions na nini kitaathirika afu watakuja na jibu la katikati..
Serikali haifanyi Kazi kindezi kama wewe.
Sio kila jambo linatakiwa kuwa delegated.Hizo si qualities nzuri za Urais.
Kudelegate sawa lakini hata aliye delegetiwa inabidi maamuzi yake yapitiwe kwenye hiyo ngazi ya juu.
Kuna kingine huwa anawaza zaidi ya tozo akiwa ofsini !!!?Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.sasa.Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.
Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.
Kutokana na madaraka makubwa ya Rais yanayohitaji maamuzi almost daily, basi Rais asipokuwepo ofisini ni lazima kuna mtu anafanya hiyo kazi kwa niaba.
Tunajua Urais ni taasisi lakini thinking through, kuoanisha na kusimamia sera na maamuzi hapo panahitaji concentration.
Tulia kidogo mama.
Anatuonesha mfano sisi wababa tunaokimbia familia, kwamba hata ukikimbia kuna watu watakulelea hasa kama mkeo bado anaita akipita barabarani. Sasa kwenye kulelewa kubali siku ukirudi familia inaweza isikuheshimu maana hukuonesha nia ya kuijali na kuipenda familia yako. Kuna wakati matukio mengine ni kumuagiza msaidizi wako we unabaki ofsini kutafakari na kuamua baadhi ya mambo nyeti ya nchi.Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.sasa.Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.
Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.
Kutokana na madaraka makubwa ya Rais yanayohitaji maamuzi almost daily, basi Rais asipokuwepo ofisini ni lazima kuna mtu anafanya hiyo kazi kwa niaba.
Tunajua Urais ni taasisi lakini thinking through, kuoanisha na kusimamia sera na maamuzi hapo panahitaji concentration.
Tulia kidogo mama.
Duh !!born town,mzee, tanzanite,sk gang wanampa pressure, she is just hanging in the air; hajui hata la kufanya.Bado anawaza atalimpa ngapi mzee kwa ku-play role ya informer.
Sasa si una akili ndogo ndio maana huwezi kufikiria, ceremonial president ndio nini? Nani huyo ambae ni ceremonial? Nani anafanya Kazi za Rais ?Ningekuwa Admini wa Jamii Forum ninge kuleftisha.
Wewe ni hasara kuwemo humu.
Wanaweka mambo ya msingi wewe unakuja kudharau hadi majukumu ya Rais.
Unataka kuwa ceremonial president?.
wewe hujui muundo wa uongozi wa hii nchi.
umejuaje juaje kama hatulii,pia ujue mikoa yote kuna ofisi ya raisHili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.sasa.Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.
Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.
Kutokana na madaraka makubwa ya Rais yanayohitaji maamuzi almost daily, basi Rais asipokuwepo ofisini ni lazima kuna mtu anafanya hiyo kazi kwa niaba.
Tunajua Urais ni taasisi lakini thinking through, kuoanisha na kusimamia sera na maamuzi hapo panahitaji concentration.
Tulia kidogo mama.
Unachekesha,kuna Nchi bei za mafuta Kwa Lita ni hadi 6,000 na chakula kinafika mjini..Mkuu una argue kimazoe na kukariri mambo.
Hadi bunge kujadili suala la mafuta, moja ya sekta ambayo sasa ni uncontrollable, ujue wananchi mambo yako shingoni.
Tusingojee mpaka vyakula vikakosa kufika mijini halafu kutokea riots kama za Sudan ndio tuamke.
Coordination za sekta zote hawezi kuachiwa PM ambaye kimsingi hajiamini sana.
Tusingojee disaster.
Ni ushauri tu!
Naunga mkono hoja. Ni wakati sasa Rais Samia atembelee mikoa ya Nyanda za Juu yaani Iringa, Njombe, Ruvuma, Mbeya, Songwe na Rukwa.Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.sasa.Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.
Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.
Kutokana na madaraka makubwa ya Rais yanayohitaji maamuzi almost daily, basi Rais asipokuwepo ofisini ni lazima kuna mtu anafanya hiyo kazi kwa niaba.
Tunajua Urais ni taasisi lakini thinking through, kuoanisha na kusimamia sera na maamuzi hapo panahitaji concentration.
Tulia kidogo mama.
Pengine uko mwezini maana hujaona migomo ya daladala.Unachekesha,kuna Nchi bei za mafuta Kwa Lita ni hadi 6,000 na chakula kinafika mjini..
Kwa akili zako ndogo,those days wakati mafuta ni Bei chini lakini barabara haziko Vijijini mbona chakula kilikuwa kinafika mjini Kwa bei kubwa?
Nasema hivi hakuna serikali itafuta Kodi za maana kwenye mafuta na ambazo sehemu kubwa zinatumika kwenye road fund,Tarura,TanRoads na kwenye maji Ili tuu wewe ununue mafuta Kwa bei ya chini,narudia hakuna..
Zaidi tuu serikali itakachofanya ikijitahidi ni kupunguza walau sh.300.
Soma vizuri hoja uielewe.Kwa wale fuata mkumbo na watu wa kujazwa chuki bila kutumia akili zao nataka muelewe hivi,
Rais wa JMT ambaye ndiye Amiri jeshi mkuu, kila siku ya Mungu anapewa daily briefing ya nchi nzima na ndio sababu ofisi zote za serikali asubuhi uanza na vikao, Polisi kuna morning call, Usalama wa Taifa hivyo hivyo then repoti zote za hali ya nchi zinafika kwa Rais.
Msimchukulie powa mama kwakuwa kaamuwa kuwarudishia Uhuru sasa mnataka kumpanda kichwani.
Naona mmeshasahau alivyowaonesha demo tu kwa Freeman Mbowe mlikuwa mnalialia humu.
Mnachokitaka mtakipata tu, Mungu huwa anajibu maombi, tuendelee kuomba kwa bidii turudishwe kwenye utawala wa kishetani Mungu atajibu maombi.
Mkiona kuna weakness kwenye utawala tumieni na nyinyi hizo weakness kupiga pesa na kuboresha maisha yenu na siyo kuwa na ulalamishi usiokuwa na kikomo.
Midomo kwenye keyboard. Mbona hawaongei kwenye kadamnasi.Kwa wale fuata mkumbo na watu wa kujazwa chuki bila kutumia akili zao nataka muelewe hivi,
Rais wa JMT ambaye ndiye Amiri jeshi mkuu, kila siku ya Mungu anapewa daily briefing ya nchi nzima na ndio sababu ofisi zote za serikali asubuhi uanza na vikao, Polisi kuna morning call, Usalama wa Taifa hivyo hivyo then repoti zote za hali ya nchi zinafika kwa Rais.
Msimchukulie powa mama kwakuwa kaamuwa kuwarudishia Uhuru sasa mnataka kumpanda kichwani.
Naona mmeshasahau alivyowaonesha demo tu kwa Freeman Mbowe mlikuwa mnalialia humu.
Mnachokitaka mtakipata tu, Mungu huwa anajibu maombi, tuendelee kuomba kwa bidii turudishwe kwenye utawala wa kishetani Mungu atajibu maombi.
Mkiona kuna weakness kwenye utawala tumieni na nyinyi hizo weakness kupiga pesa na kuboresha maisha yenu na siyo kuwa na ulalamishi usiokuwa na kikomo.
Sasa kila mtu akiwa anaijbia serikali, si nchi itaanguka? Pia kumbuka ww unaweza kutumia loophole kupiga, vipi wale wasiokua na hiyo loophole na ndio majority ya watanzania.Kwa wale fuata mkumbo na watu wa kujazwa chuki bila kutumia akili zao nataka muelewe hivi,
Rais wa JMT ambaye ndiye Amiri jeshi mkuu, kila siku ya Mungu anapewa daily briefing ya nchi nzima na ndio sababu ofisi zote za serikali asubuhi uanza na vikao, Polisi kuna morning call, Usalama wa Taifa hivyo hivyo then repoti zote za hali ya nchi zinafika kwa Rais.
Msimchukulie powa mama kwakuwa kaamuwa kuwarudishia Uhuru sasa mnataka kumpanda kichwani.
Naona mmeshasahau alivyowaonesha demo tu kwa Freeman Mbowe mlikuwa mnalialia humu.
Mnachokitaka mtakipata tu, Mungu huwa anajibu maombi, tuendelee kuomba kwa bidii turudishwe kwenye utawala wa kishetani Mungu atajibu maombi.
Mkiona kuna weakness kwenye utawala tumieni na nyinyi hizo weakness kupiga pesa na kuboresha maisha yenu na siyo kuwa na ulalamishi usiokuwa na kikomo.
Kadamnasi gani ambayo watu hawaongei? Unatkaa waende ikulu kuongea? Huku kwetu watu wanaongea kila leoMidomo kwenye keyboard. Mbona hawaongei kwenye kadamnasi.