Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #81
Kwa vile hakukukong'oli?Magufuli hana mabaya, acha upunguwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vile hakukukong'oli?Magufuli hana mabaya, acha upunguwani.
Nenda na ww USMbeya hajafika lakini US ameshaenda zaidi ya mara 3
Utakua raisi bila kukong'oli watu? Nitajie raisi duniani ambae hajakong'oli watuKwa vile hakukukong'oli?
Tulia kidogo dogo. Uraisi Ni Taasisi. Mbona JPM alihamishia ikulu Chato, nyumbani kwake, Karibu na kaburi lake?Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.
Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.
Kutokana na madaraka makubwa ya Rais yanayohitaji maamuzi almost daily, basi Rais asipokuwepo ofisini ni lazima kuna mtu anafanya hiyo kazi kwa niaba.
Tunajua Urais ni taasisi lakini thinking through, kuoanisha na kusimamia sera na maamuzi hapo panahitaji concentration.
Tulia kidogo mama.
Mzee Makamba walimwambia Samia apumzi hasifanye kaz Sana isije kufika 2025 akawa amechokaIkulu unakaa kama unapenda kuumiza kichwa kufikiria changamoto mbalimbali na namna ya kuzitatua, kama kichwa chako chepesi bora utafute vijisafari ukatembee, huku ukiwaacha "watoto wa mjini" wafikirie utatuzi wa changamoto hizo.
Matokeo yake ndio tuko hapa, mafuta yanazidi kupanda bei kila siku, wakiulizwa, jibu lao ni lile lile vita ya Urusi na Ukraine, wafanyabiashara wakizidi kuneemeka at the expense of poor citizens of this country, huku Rais na Waziri husika nao kila siku wanakuja na majibu tofauti.
JPM hawezi na hajawahi kuwa mfano bora wa uendeshaji wa taasisi ya urais.Tulia kidogo dogo. Uraisi Ni Taasisi. Mbona JPM alihamishia ikulu Chato, nyumbani kwake, Karibu na kaburi lake?
Na wewe uache mambo yako, huyo mama na kuishia barabarani kila siku hizo briefing anazifanyia kazi saa ngapi, kuna mambo tuwe realistic tu jamani.Kwa wale fuata mkumbo na watu wa kujazwa chuki bila kutumia akili zao nataka muelewe hivi,
Rais wa JMT ambaye ndiye Amiri jeshi mkuu, kila siku ya Mungu anapewa daily briefing ya nchi nzima na ndio sababu ofisi zote za serikali asubuhi uanza na vikao, Polisi kuna morning call, Usalama wa Taifa hivyo hivyo then repoti zote za hali ya nchi zinafika kwa Rais.
Msimchukulie powa mama kwakuwa kaamuwa kuwarudishia Uhuru sasa mnataka kumpanda kichwani.
Naona mmeshasahau alivyowaonesha demo tu kwa Freeman Mbowe mlikuwa mnalialia humu.
Mnachokitaka mtakipata tu, Mungu huwa anajibu maombi, tuendelee kuomba kwa bidii turudishwe kwenye utawala wa kishetani Mungu atajibu maombi.
Mkiona kuna weakness kwenye utawala tumieni na nyinyi hizo weakness kupiga pesa na kuboresha maisha yenu na siyo kuwa na ulalamishi usiokuwa na kikomo.
nasapoti mtoto wa mzee mwinyi anayefanya kazi ni husein mwinyi Zanzibar tu ,huyu wa bara hapana tumepigwaKama Marekani alikaa Siku 14 huku Uingereza atakaa Siku 28 na akienda China anakosubiriwa kwa Hamu kutokana na Urafiki mkubwa na wa Kihistoria wa hizi nchi Mbili kuna uwezekano akakaa huko hata Miezi Mitatu mpaka Sita.
Hussein Mwinyi kweli anafanya kazi.nasapoti mtoto wa mzee mwinyi anayefanya kazi ni husein mwinyi Zanzibar tu ,huyu wa bara hapana tumepigwa
Jibu hili hapa.Mkuu nimeishi Zanzibar 2019 huyu ni Mzanzibar halisi kabisa yaani wale wavivu wa kufanya kazi kama kuna chakula ndani hafanyi kazi tena kuzalisha zaidi ya kula na kusikiliza taraabu. Over
Siku hizi tuna digital offices blazaHili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.
Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.
Kutokana na madaraka makubwa ya Rais yanayohitaji maamuzi almost daily, basi Rais asipokuwepo ofisini ni lazima kuna mtu anafanya hiyo kazi kwa niaba.
Tunajua Urais ni taasisi lakini thinking through, kuoanisha na kusimamia sera na maamuzi hapo panahitaji concentration.
Tulia kidogo mama.
Huyu hawezi kwani hakunadi yeye ndo Mana wanamzurulisha duniani wao wanaandaa mkeke 2025Hussein Mwinyi kweli anafanya kazi.
Anatembelea ahadi za Ilani sliyotoa.
Sisi tunchomwomba mama , the least she can do ni kutekeleza Ilani kwa mikoani zilixoahidiwa.
Hakuna kitu kama hicho kwa Ofisi ya Rais duniani popote.Siku hizi tuna digital offices blaza
Si mlisifia anaupiga mwingi? Si mlisifia CCM mnayoitaka imerudi, tena na neema zake ndogo ndogo na zile kubwa?Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.
Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.
Kutokana na madaraka makubwa ya Rais yanayohitaji maamuzi almost daily, basi Rais asipokuwepo ofisini ni lazima kuna mtu anafanya hiyo kazi kwa niaba.
Tunajua Urais ni taasisi lakini thinking through, kuoanisha na kusimamia sera na maamuzi hapo panahitaji concentration.
Tulia kidogo mama.
Tulimsifia na tutendelea kumsifia, maana tulikotoka utumwani Misri hakuna anayetaka kurudi.Si mlisifia anaupiga mwingi? Si mlisifia CCM mnayoitaka imerudi, tena na neema zake ndogo ndogo na zile kubwa?
Sasa shida iko wapi? Maana waswahili wana usemi wao...lakuvunda huwa halina ubani!
Tumuache Mama afanye kazi anavyoona inampendeza maana tulimpa moyo hivi ndivyo kazi inavyotakiwa.
After all, kama tuna machozi, kila mtu atajililia mwenyewe kwa wakati wake muafaka!
Anafungua nchi mkuu na anatafuta wawekezaji.Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.