Rais Samia tahadhari na tulia kidogo. Kazi zako Ikulu anazifanya nani?

socialism inaiua nchi yetu.. tulihitaji capitalistic system ili akili zifunguke.. wanachi kutwa kulalamika bila kuchukua hatua ni tatizo.. cha muhimu ni kuchukua hatua
 
Kadamnasi gani ambayo watu hawaongei? Unatkaa waende ikulu kuongea? Huku kwetu watu wanaongea kila leo
Kazana na andamana siku hizi ruksa, weka mabango kwenye kila mtaa, nadhani atasikiahamtawekwa ndani au kupotea.
 
Sio kila jambo linatakiwa kuwa delegated.

Kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya yeye mwenyewe lakini hayafanyi anadelegate.

Na matatizo mengi awamu hii yanatokana na mapungufu hayo.
Nafikiri umepatia nililokuwa nataka kulieleza kiundani.
Taasisi ya urais ipo lakini kuna mambo ambayo lazima Rais akae nayo na kutazama yako katika msingi ya sera za chama na muendelezo wake.
Tuliona sokomoko la tozo,nenda mbele rudi nyuma, ile lilikuwa fundisho kuwa mama hakuwa na a firm hand on things.
 
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.

Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.

Kutokana na madaraka makubwa ya Rais yanayohitaji maamuzi almost daily, basi Rais asipokuwepo ofisini ni lazima kuna mtu anafanya hiyo kazi kwa niaba.

Tunajua Urais ni taasisi lakini thinking through, kuoanisha na kusimamia sera na maamuzi hapo panahitaji concentration.

Tulia kidogo mama.
Delegation?
 
Nimekuwa nikijiuliza sana.
 
Anapenda safari kama kaka yake wa awamu ya 4, bila shaka tutasikia uwongo mwingi kila siku.
 
Kama Marekani alikaa Siku 14 huku Uingereza atakaa Siku 28 na akienda China anakosubiriwa kwa Hamu kutokana na Urafiki mkubwa na wa Kihistoria wa hizi nchi Mbili kuna uwezekano akakaa huko hata Miezi Mitatu mpaka Sita.
Nina rafiki yangu huko Guinea anauliza kuwa Tanzania hakuna jeshi au wanajeshi hawana ndugu wanaoathirika na hali ngumu!!??
Nikamwambia ngoja nitawauliza wahusika.
 
Sio rahisi kiasi hicho Mkuu, serikali iko in control na kweli high alert
Mpanda ngazi kweli hashuki!
Ila msije kujisahau.
Msikilize huyo kijana mtaani ingawaje sikubaliani naye kimtizamo.
Watu wako frustrated.
 
.....anamangamanga
Kazi anapiga chenga
Uvivu wake ni janga
Sasa njaa yatunyonganyonga

Tulia eh mwanangu
Nyamaza mziwanda wangu”
 
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.

Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.

Kutokana na madaraka makubwa ya Rais yanayohitaji maamuzi almost daily, basi Rais asipokuwepo ofisini ni lazima kuna mtu anafanya hiyo kazi kwa niaba.

Tunajua Urais ni taasisi lakini thinking through, kuoanisha na kusimamia sera na maamuzi hapo panahitaji concentration.

Tulia kidogo mama.
Naona mnaanza kumuelewa Magufuli.
R. I. P Magufuli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ikulu unakaa kama unapenda kuumiza kichwa kufikiria changamoto mbalimbali na namna ya kuzitatua, kama kichwa chako chepesi bora utafute vijisafari ukatembee, huku ukiwaacha "watoto wa mjini" wafikirie utatuzi wa changamoto hizo.

Matokeo yake ndio tuko hapa, mafuta yanazidi kupanda bei kila siku, wakiulizwa, jibu lao ni lile lile vita ya Urusi na Ukraine, wafanyabiashara wakizidi kuneemeka at the expense of poor citizens of this country, huku Rais na Waziri husika nao kila siku wanakuja na majibu tofauti.
Hivi kwan tz tunangizaga mafuta urusi au nchi kiarab? Hii vita mbona inasingiziwa mno
 
Back
Top Bottom