Ikulu unakaa kama unapenda kuumiza kichwa kufikiria changamoto mbalimbali na namna ya kuzitatua, kama kichwa chako chepesi bora utafute vijisafari ukatembee, huku ukiwaacha "watoto wa mjini" wafikirie utatuzi wa changamoto hizo.
Matokeo yake ndio tuko hapa, mafuta yanazidi kupanda bei kila siku, wakiulizwa, jibu lao ni lile lile vita ya Urusi na Ukraine, wafanyabiashara wakizidi kuneemeka at the expense of poor citizens of this country, huku Rais na Waziri husika nao kila siku wanakuja na majibu tofauti.