Rais Samia tahadhari na tulia kidogo. Kazi zako Ikulu anazifanya nani?

Rais Samia tahadhari na tulia kidogo. Kazi zako Ikulu anazifanya nani?

Ikulu unakaa kama unapenda kuumiza kichwa kufikiria changamoto mbalimbali na namna ya kuzitatua, kama kichwa chako chepesi bora utafute vijisafari ukatembee, huku ukiwaacha "watoto wa mjini" wafikirie utatuzi wa changamoto hizo.

Matokeo yake ndio tuko hapa, mafuta yanazidi kupanda bei kila siku, wakiulizwa, jibu lao ni lile lile vita ya Urusi na Ukraine, wafanyabiashara wakizidi kuneemeka at the expense of poor citizens of this country, huku Rais na Waziri husika nao kila siku wanakuja na majibu tofauti.
Nafikiri onyo nililotoa sasa ni dhahiri.
Mama anatembea duniani kama kaachiwa toka gerezani. Watu hawafanyi kazi sasa hadi ofisi za Ikulu zinajikanganya na kuteua marehemu.
 
Kama Marekani alikaa Siku 14 huku Uingereza atakaa Siku 28 na akienda China anakosubiriwa kwa Hamu kutokana na Urafiki mkubwa na wa Kihistoria wa hizi nchi Mbili kuna uwezekano akakaa huko hata Miezi Mitatu mpaka Sita.
😀
 
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.

Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.

Kutokana na madaraka makubwa ya Rais yanayohitaji maamuzi almost daily, basi Rais asipokuwepo ofisini ni lazima kuna mtu anafanya hiyo kazi kwa niaba.

Tunajua Urais ni taasisi lakini thinking through, kuoanisha na kusimamia sera na maamuzi hapo panahitaji concentration.

Tulia kidogo mama.
Samia hata angetulia,there will be nothing useful out of her.Arudi kwenye NGOs tu,urais no,sio sehemu yake,she is wasting our time.
 
Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
 
Kazi zake ikulu zinafanywa na :-
1. Makamu wa rais.
2. Katibu mkuu kiongozi.
 
Kumbe hii post ni ya 2022? Hahaha haya leo 2024 yupo korea kavutiwa na movie ya mstuni
JF tulimtonya mwenendo wake wa kusafiri na kuiacha Ikulu bila uangalizi.
Tazama sasa marehemu wana teuliwa akiwa majuu.
 
Kwa hiyo hatuna haja ya kuwepo Rais Samia?
Rais after all anafanya nn cha muhimu nchi hii? Sana sana nchi ndiyo inamafanyia rais.

Mm naona marais wa nchi hii wapo wapo tu. Ukimbiwa utaje jambo hata moja ambalo bila rais lisingewezekana kufanyika unaweza kutaka?
 
Dr Samia, Rais katoa bilioni kujenga daraja
Dr Samia, Rais katoa bilioni mbili dawa za mama na mtoto
Dr Samia, Rais katoa bilioni tano za dawa ya wadudu wa korosho

Mwisho tunasikia.....
DR SAMIA, RAIS KATEUA MAREHEMU..........astakafullahi....!
 
Inaudhi sana. Utadhani hizo fedha katoa mfukoni kwake.
 
Kazi zake ikulu zinafanywa na :-
1. Makamu wa rais.
2. Katibu mkuu kiongozi.
Hao sio waliopewa nchi.By the way,mnapaswa kujua kwamba hao ni kama ni lazima sana,not by design.
 
Hapa ndipo unasikia paap unaamka na taarifa Za breaking news DW .VOA au BBC za burkinabezitation au hans pope na macgee effects. Wewe unafikiri baadhi ya WAKULUNGWA wazalendo huko deep state wanapendezwa na hizi movements? Kuna mambo yanatudhalilisha sn machoni pa mataifa. Tunakuwa kama laughing stock.
 
Ikulu unakaa kama unapenda kuumiza kichwa kufikiria changamoto mbalimbali na namna ya kuzitatua, kama kichwa chako chepesi bora utafute vijisafari ukatembee, huku ukiwaacha "watoto wa mjini" wafikirie utatuzi wa changamoto hizo.

Matokeo yake ndio tuko hapa, mafuta yanazidi kupanda bei kila siku, wakiulizwa, jibu lao ni lile lile vita ya Urusi na Ukraine, wafanyabiashara wakizidi kuneemeka at the expense of poor citizens of this country, huku Rais na Waziri husika nao kila siku wanakuja na majibu tofauti.
Umesema ukweli kabisa!
 
Awe kama Marehemu Magufuli. Safari zake nyingi ziwe za hapa nchini na hasa wilayani na Mikoani akikagua miradi ambayo ameikopea fedha kama miradi hiyo ina value for money. Chukua gharama ya safari ya South Korea na hiyo gharama inaweza kujenga vituo 5 vya afya.
 
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.

Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.

Kutokana na madaraka makubwa ya Rais yanayohitaji maamuzi almost daily, basi Rais asipokuwepo ofisini ni lazima kuna mtu anafanya hiyo kazi kwa niaba.

Tunajua Urais ni taasisi lakini thinking through, kuoanisha na kusimamia sera na maamuzi hapo panahitaji concentration.

Tulia kidogo mama.
Katika kosa ambalo tutajutia miaka 200 ijayo ni kumpa yule mama sehemu takatifu kama ikulu
 
Kwa wale fuata mkumbo na watu wa kujazwa chuki bila kutumia akili zao nataka muelewe hivi,

Rais wa JMT ambaye ndiye Amiri jeshi mkuu, kila siku ya Mungu anapewa daily briefing ya nchi nzima na ndio sababu ofisi zote za serikali asubuhi uanza na vikao, Polisi kuna morning call, Usalama wa Taifa hivyo hivyo then repoti zote za hali ya nchi zinafika kwa Rais.

Msimchukulie powa mama kwakuwa kaamuwa kuwarudishia Uhuru sasa mnataka kumpanda kichwani.

Naona mmeshasahau alivyowaonesha demo tu kwa Freeman Mbowe mlikuwa mnalialia humu.

Mnachokitaka mtakipata tu, Mungu huwa anajibu maombi, tuendelee kuomba kwa bidii turudishwe kwenye utawala wa kishetani Mungu atajibu maombi.

Mkiona kuna weakness kwenye utawala tumieni na nyinyi hizo weakness kupiga pesa na kuboresha maisha yenu na siyo kuwa na ulalamishi usiokuwa na kikomo.
Insanity
 
Hapa ndipo unasikia paap unaamka na taarifa Za breaking news DW .VOA au BBC za burkinabezitation au hans pope na macgee effects. Wewe unafikiri baadhi ya WAKULUNGWA wazalendo huko deep state wanapendezwa na hizi movements? Kuna mambo yanatudhalilisha sn machoni pa mataifa. Tunakuwa kama laughing stock.
Hatuombei hilo, ila kama nchi tuna dhalilika kukosa uongozi bora.
 
Back
Top Bottom