Rais Samia tahadhari na tulia kidogo. Kazi zako Ikulu anazifanya nani?

Maza hatulii ofisini hadi wanamchomekea marehemu kwenye teuzi zake ili adhalilike tu
 
Ooh and you think she has to in Chamwino kuwa effective?

Na yote uliyosema can’t be done akiwa remote?

Wa wapi wewe?
So she remotely decided to apoint a dead person. I think if she were around that couldnt happened
 
Mama Akienda Kutafuta Mikopo Chechefu Huwa Majukumu Anamwachia Yule Aliyesema
""BOra Mama Umerudi Haraka Maana Nilikuwa Naogopa Sana Lingetokea Jambo "
 
Na tunajua kila ngazi ya malipo ina kiwango,tunategemea kuna miradi mikubwa anatakiwa aidhinishe malipo hivyo ni lazima akae ofisini asome kuanzia mwanzo wa tender,washindani wa hiyo tyenda hadi kazi zilizokamilika na malipo yadayodaiwa.
Sizani kama huyu maza anafanya hayo hata akiwa ofisini
 
With the digital world…. Kambi popote
 
Mama inaonyesha Jembe alimbana sana na ukiangalia kiundani inaonyesha hakuukubali utawala wa JPM ila hakua na jinsi
 
Akae ikulu kwani yeye Tausi? hizi ndio shughuli za Rais kama ulikua hujui, maswala ya uendeshaji wa shughuli za kila siku zinafanywa na serikali ambayo ina mawaziri. Magufuli alikua hasafiri kwaajili aliogopa kupanda ndege akihofia ile pace maker yake kwenye moyo lasivyo kila siku angekua kwenye ndege.
 
Akili ya ajabu kabisa.. hivi kila mtu akiiba tutaishia wapi?
 
Kazi gani ? Swali la kwanza.
 
Ficha upumbavu wako. Kazi za Rais siyo kufanya tours na watu.
 
Nyanda za juu kusini hatugawi kura Kwa kina Fulani, labda waibe.
 
Mwacheni aishi kwenye ndoto ya maisha yake. Alishasema kuwa akiwa sekondari alitamani sana kuja kuwa air hostess. Mwacheni aruke mama wa watu jamani kwa nini mnakuwa hivyo?
 
Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya Ikulu ni mzigo.

Tulia kidogo mama.
Your browser is not able to display this video.
 
Inatafakarisha sana sana!!!

R.I.P Magufuli
 
Kama Marekani alikaa Siku 14 huku Uingereza atakaa Siku 28 na akienda China anakosubiriwa kwa Hamu kutokana na Urafiki mkubwa na wa Kihistoria wa hizi nchi Mbili kuna uwezekano akakaa huko hata Miezi Mitatu mpaka Sita.
Na hivi weshamjua anachopenda, Watamuandalia PHD katika majimbo sita Ili atuuze na sisi!!

Kawaangusha sana Wanawake wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…