#COVID19 Rais Samia: Tanzania haitakubali chanjo ya Corona kabla ya kujiridhisha

Mkuu

Unauliza wakati shehena ilishatinga mlangoni? Ushoga tayari njia nyeupe ila hatatangaza hadgarani!!!

Timu iliyoundwa tayari imekuwa 'compromised' majibu yatakayotoka yataendana na kileambacho tayari kinaonekana hadharani wanakifanya

Hivi hiyo kamati kwanza wanajadili nini?

What are they analysing? Hahaa....
 
We kama hutaki usipige,hujalazimishwa

Kva
 



Naona unasema ikatuacha vilevile !! unaweka ushabiki kwasababu hujafiwa kaongee na wale Watanzania waliopeteza ndugu zao kuanzia mwezi wa kwanza 2020!. Chanjo ni kwa wale wanauhitaji kama hauko kwenye wahitaji basi usifanye lakini huna haki za kuweka siasa zako kwa wananchi wote kwasababu ya fikra binafsi. Hakuna mtu analazimishwa kufanya chanjo wanacho omba wengi ni upatikanaji tu maana hizi chanjo haziuzwi kwa watu binafsi kwa sasa. Chanjo zingekuwa zinapatikana wala watu wasingeongelea serikali. Mimi nimepoteza marafiki wawili Tanzania kwa Corona najua uchungu wake
 
ni suala la muda tu, nilijua tu tunapoelekea sooner or later Chanjo itakuja maana mwenye misimamo yake alishaenda, Kweli Magu tunakukumbuka sana mzee
Magu kaondoka na Corona,sasa wewe na familia msivae barakoa kama Magu.
 
Kwahiyo na wewe unasubiri kudungwa chanjo?

Chanjo haidungwi bali ina chanjwa. Ukweli mchungu - suala la chanjo ni hiari. Wanaoihitaji chanjo tupo wengi sana.

Kwamba kuna wanaotaka na wasiotaka chanjo mbona jambo la kheri tu?

Heko Mufti kwa kutambua mtaani kuna wataalamu na wataalamu pori:



Tutasimama na wataalamu lakini si mamburula!
 

Mbona tuliwahi kuambiwa akina mama hawatakiwi kusimama na kuongea mbele ya wanaume kwenye mazingira kama haya?
 
Mimi sitachanjwa!

Hongera sana kwa uchaguzi wako. Kuchanjwa au kuacha ni optional. Tatizo hamna.

Ila mimi na washirika zangu tutachanjwa mapema kabisa. Hapa tulipo tunalaani kwani mwendazake alituchelewesha mno!
 
Nenda ukachanjwe kama mbowe
 
Na wewe utapotea karibuni nakuona corona unayokichwani mwako.
 
Hongera sana kwa uchaguzi wako. Kuchanjwa au kuacha ni optional. Tatizo hamna.

Ila mimi na washirika zangu tutachanjwa mapema kabisa. Hapa tulipo tunalaani kwani mwendazake alituchelewesha mno!
Nenda hapo Kenya kwa Manyang'ao ipo.
 
Nenda Kenya au Dubai ukachanjwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…