#COVID19 Rais Samia: Tanzania haitakubali chanjo ya Corona kabla ya kujiridhisha

Huyu mama hasomeki, anaaa mask na wasaidizi wake wa karibu alafu kwenye sala wamejazana bila mask...
 
Kuna nchi ambayo waliacha kufa baada ya kuchanjwa? Mke wa Bill gate alidai mei 2020 alisema tungeokota maiti barabarani wao ndo imewashughulikia,na wewe kama unatamani ya India yaje Tanzania,itakushughulikia peke yako ufutike juu ya uso wa nchi.
Maa Mungu huwa hapangiwi.
corona imeua watu zaidi ya 3millioni duniani lakini Afrika ni laki moja na kitu,hujiulizi kwanini Mungu kaacha hivyo? Ukiendelea na ujuaji wako subiri Israeli atakusaka kokote.
 
Huyu mama hasomeki, anaaa mask na wasaidizi wake wa karibu alafu kwenye sala wamejazana bila mask...
Kwani mask ni tatizo?recommendations za wizara yetu ya afya ni pamoja na kuvaa mask iwapo utaona eneo lina risk ya corona
 

Mkuu yatupasa tumshukuru Mungu. Usilinganishe TZ na India yaliyotokea na yanayotokea huko yakitokea hapa ni Nani atapona? Tusifanye mchezo na kupenda kufanya irrelevant proof
 
Mkuu sijui kama umefanyia utafiti wa kutosha ulichokiandika.Nadhani umeamini mainstream media wanayosema kuhusu Corona.It is all fake news.Get uncompromized,hard science and independent information with regards to C-19 from here👇.Achana na udaku wa mtaani.


 
Hiyo yote ni kuogopa kufa? Masikini Mwanadamu Hana tumaini lingine zaidi ya Yesu pekee.
Anyway binafsi sichanji iwe kwa hiari au sio Hiari. Kama kutokwenda nje ya Nchi basi sitoenda maisha yangu yote ya duniani
 
Hiyo yote ni kuogopa kufa? Masikini Mwanadamu Hana tumaini lingine zaidi ya Yesu pekee.
Anyway binafsi sichanji iwe kwa hiari au sio Hiari. Kama kutokwenda nje ya Nchi basi sitoenda maisha yangu yote ya duniani
This is the right decision.
 

Nimesoma Mkuu Ahsante kwa Elimu
Tumuombe MUNGU tuu Ndugu yangu
 
Mama keshaelekea kibla hapo, huo uwezo wa kubaini umathubuti wa chnzo za corona. Sychelles wamechanjwa 90 asilimia lakini hali ya Covid19 inapanda kwa kasi na wanafikiria lockdown.

Vv
 
Unajuaje wakati hatuna takwimu? Na hata India walikuwa wanatamba juzi tu kuwa wameushinda.

Amandla...
It’s called the eye test!

Scenes like these from India, I haven’t seen them in Tanzania.

Have you?

 
Mimi niko vizuri sana aje nani mimi nimwendo wakula bata tu mpaka Mungu anichukue. Usifikiri mimi ni kama hao kula kulala wenzako. Hata akija Rais wa Mashoga Lissu mimi nitakuwa nakula bata tu mkuu!!
Sasa Lissu anaingiaje hapa 🤣🤣🤣, hakyani yaan ukipinga jambo la MATAGA humu unaonekana CDM. Mimi nachapa kotekote nikiona upotoshaji, nakushughulikia hakuna cha CDM wala CCM.
 
mama usije ukajiingiza kwenye huo mtego.
Nchi yako ipo salama.endelea kufanya kazi
utakuja kuletewa vitu vya ajabu ajabu.
Ukaanza kumtafuta MCHAWI Nani kumbe NI wewe mwenyewe.CORONA NI MPANGO.
watu wanajua wanachofanya.
magufuli alikuwa sahihi aliposema tumtegemee mungu.
Chubguza mama kwanini nchi yako haijapata mateso makubwa kama nyingine kwenye Corona?.
Kwanini magufuli aliporuhusu watu waishi Tu wimbi la pili lilikosa nguvu?
 
Na kuamini iwe kama unafunguliwa mtihani wa NECTA. Tuonyeshwe seal zote ndo tutaamini kadungwa yenyewe.
Don't trust politicians so easily akiweka kitu kingine rather than hyo shot utajua?? chamuhimu Kama unaona inafaa use it not because president katumia otherwise don't try.
 
Wee ni pro mwendazake hatushangai [emoji1787][emoji1787][emoji1787], na sio lazima unaweza hama hata nchi kama vp hamia Madagascar. OVER!!
Hivi kuchanja lazima na unamamlaka gani yakumwambia mtu ahame nchi kisa anamawazo tofauti na yako?
 
Wewe kama hutaki chanjo tulia ... wengine wanahitaji sababu either wanamagonjwa sugu ama ni wazeee....

Huu ugonjwa sio wa kubezwa especially kama una tatizo la kiafya ama una umri mkubwa .

Kaa kimya mzee
You are mad[emoji23][emoji23]yaani ukiwa unamagonjwa sugu ndyo utumie chanjo ya korona kwamawazo haya kweli wewe Ni walking dead!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…