RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Uchaguzi haukufanyika na hata AU, Sadc, Commonwealth, UN, EU nk walithibitisha hilo na wanaosema uchaguzi ulifanyika ni nyie machawa tu.Tumeichagua sisi wananchi, tulipiga kura. Mlileta vurugu mkitegemea kuharibu kila kitu mmepoteza tu muda na nguvu zenu.
Ufisadi haupo kwa sasaAisee kumbe leo ndo mmechambwa hivyo.
Acheni kuwa na midomo mingi na mikubwa. Ndiyo maana ufisadi hauishi. Lucas Mwashambwa
Hilo ndiyo jambo kubwa nililolipata katika kauli yake hiyo. Kwamba alimpa fursa na kumuhamisha siyo kwa sababu ya uwezo bali kwa sababu ya ukaribu wao na kumjengea fursa.SAMUYA kila akiongea anatoa BOKO.
Kwahiyo inamaana Waziri amempeleka hapo ili kumjengea FUTURE yake na si kwa VIGEZO ,ina maana anaowaweka karibu hawaajiriwi kwa vigezo bali ili awakuze? Kama anawasiwasi yeye akiondoka WAZIRI atakuwa hapati nafasi kwasabu kwamba amembeba? Akaona bora ampeleke Wizarani permanent post ambayo hata akitoka bado atakuwepo? Nepotism
🤣🤣🤣Ndo tunaona Jaji hajui tofauti ya session na seatings
Midomo mingi inaanzia kwenye Taasisi za serikali zikizoporwa na chawa, rejea suala kuuza dhahabu³Rais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
Ubalozi wa Marekani na wao ni machawa?. Ubalozi wa Russia na wao ni machawa?.Uchaguzi haukufanyika na hata AU, Sadc, Commonwealth, UN, EU nk walithibitisha hilo na wanaosema uchaguzi ulifanyika ni nyie machawa tu.
Huwezi ukalinganisha Marekani na Tanzania, dunia mbili tofauti.SIkiliza wewe, nchi ambazo watu wake hawapigi kelele ujue kuna maridhiano au kuna mkono wa chuma...
Marekani, UK pamoja na uwezo wao mkubwa kiuchumi, lakini wananchi wake ni wakosoaji wakubwa wa sera za serikali zilizo kinyume na mitazamo yao...
Mpaka mjinga anawaongoza hao wenye akili maana yake ni wajinga kuliko wanavyojidanganya.
Akili yako ndg sana. Hata huyo hitler aliyeua mamilioni ya Jews hakuwaua wote.Mbona mimi na wewe hatujauliwa?. Vijana jifunzeni kutii sheria bila shuruti.
Unapokelewa namna unavyokuja, wewe mwenye akili kubwa ukakaa ndani wakati wenye akili ndogo wakipigwa risasi za vichwa!.Akili yako ndg sana. Hata huyo hitler aliyeua mamilioni ya Jews hakuwaua wote.
Kama demokrasia ikizidi inazaa ujinga, ulaya yote ingekuwa imetakapaa wajinga. Ukiona demokrasia ni kikwazo kwako, basi jua huna uwezo wa kuongoza bali unalazimisha.Kuna mtu anashangaa kwanini Rwanda na Zanzibar wamepiga hatua, marais hawakutani na wajuaji wengi wa mitandaoni wanaachwa huru kufanya yale ya kitaalam.
Kule Dubai kuna hali ya juu kiuchumi, sababu yule kiongozi wao mkuu alipiga vita wapiga miluzi wa mitandaoni yupo huru kufanya analotaka kwa manufaa ya nchi anayoiongoza.
Demokrasia ikizidi huzaa ujinga mwingi kwa kigezo cha uhuru wa kuongea.
Ni kweli lazima dola iheshimiwe maana ndio inayoratibu wizi wa kura.Unapokelewa namna unavyokuja, wewe mwenye akili kubwa ukakaa ndani wakati wenye akili ndogo wakipigwa risasi za vichwa!.
Lazima dola iheshimiwe siku zote.
Rwanda na Zanzibar kuna hatua gani bana wewe, umaskini tu.Yaani pamoja na ujinga wetu huwezi ukaanza kutulinganisha na Rwanda na Zanzibar..Wewe unayejiona una akili kubwa unaweza kuwa ndio mwenye akili ndogo.
Rwanda na Zanzibar zinapiga hatua zikiongozwa na marais wenye uhuru wa kufanya kile wanachoamua.
Hizi demokrasia za kutaka kila mtu asikike zimetuchelewesha sana.
Hayati JPM angewasikiliza wanaharakati asingeweza kufanya mengi makubwa.
Sio kweli, Rwanda na Zanzibar ni masikini, pia hizo nchi nyingine zimepiga hatua kwa sababu ufisadi ni mdogo na viongozi wao ni wazalendoKuna mtu anashangaa kwanini Rwanda na Zanzibar wamepiga hatua, marais hawakutani na wajuaji wengi wa mitandaoni wanaachwa huru kufanya yale ya kitaalam.
Kule Dubai kuna hali ya juu kiuchumi, sababu yule kiongozi wao mkuu alipiga vita wapiga miluzi wa mitandaoni yupo huru kufanya analotaka kwa manufaa ya nchi anayoiongoza.
Demokrasia ikizidi huzaa ujinga mwingi kwa kigezo cha uhuru wa kuongea.
Huwezi ukalinganisha Marekani na Tanzania, dunia mbili tofauti.
Lakini wewe uliyelinganisha UAE (Dubai) na Tanzania kwa mitazamo ya kidemokrasia umeona ni dunia mbili sawa?
Sheikh Makhtoum angesikiliza miluzi ya wajuaji leo hii Dubai isingekuwa hapa ilipo. Kuna muda maishani udikteta unalipa.Lakini wewe uliyelinganisha UAE (Dubai) na Tanzania kwa mitazamo ya kidemokrasia umeona ni dunia mbili sawa?