Rais Samia: Tanzania ina midomo mingi, kila unalofanya linatafsiriwa

Changamoto za kisaikolojia zipo nyingi na zinaweza kumpata mtu yeyote
 
umekuja nilipopasema..Pia demokrasia nayo ni tatizo kwa maendeleo..upo sahihi mkuu.
 
Wewe pumbavu hii nchi ni jamuhuri na sio ufalme au nchi ya familia.
Halafu mbona Swahiba wenu dikteta Museveni hasikilizi watu kwa miaka 40 na Uganda bado ni masikini wa kutupwa??
 

The opposite is true. Nchi hii haijawahi kuwa na mtawala duni wa kiwango chake.

Watu wasio na akili, wasiokubalika, wasio na ushawishi wa vitendo na kauli, hupenda kutumia maguvu ili kukubalika. Ukiona tu kiongozi ni muuaji, tambua kuwa hana akili, hana ushawishi, hakubaliki, na hivyo analazimisha ili aendelee kuwepo kwenye nafasi ya uongozi.

Nitajie Rais hata mmoja katika Tanzania au hata nchi jirani ambaye aliwahi kuwa muuaji hata kwa kiwango cha 50% ya mauaji aliyoyafanya Samia.
 

Fanya mambo mema uone kama kuna mtu atapiga miluzi...

Hulka na utamaduni wa Watanzania ni utulivu kiasi cha haiba yetu kufananishwa na mnyama twiga...
 
Ubalozi wa Marekani na wao ni machawa?. Ubalozi wa Russia na wao ni machawa?.

Sisi tulioamka asubuhi tukapiga kura hatukuwa wajinga mkuu.

Samia yupo mpaka 2030 nyinyi mtaendelea kuumia tu.
Yupo mpaka 2030 kwa ndoto za machawa na kuna machawa wa Magufuli nao walikuwa na ndoto kwamba angetawala milele.

Ni kufuru kumwabudu mtu anayeenda choo kama wewe au atakayekufa kama wewe na hiyo ni kazi inayoweza kufanywa na machawa tu.
 
Tafuta kazi ufanye acha kuvizia ili kulamba makalio ya watu. Bogus.
 
Yupo mpaka 2030 kwa ndoto za machawa na kuna machawa wa Magufuli nao walikuwa na ndoto kwamba angetawala milele.

Ni kufuru kumwabudu mtu anayeenda choo kama wewe au atakayekufa kama wewe na hiyo ni kazi inayoweza kufanywa na machawa tu.
SSH yupo mpaka 2030 pale ikulu, hayo ya kumwabudu mtu ni ya kwenu mnayajua vizuri.
 
Nyakati za Samia ni tofauti na za kina Mwinyi au Mkapa, anaongoza wakati maendeleo ya kimawasiliano yapo juu sana.

Upinzani anaokutana nao kwa kiasi kikubwa ni chuki kwamba yeye ni mzenji halafu mwanamama, lakini anafanya mengi sana makubwa kitaifa ukiwa na akili chanya utayaona kwa wingi wake ukiongozwa na chuki na ubaguzi utaishia kutaja negativities nyingi ambazo zinajadiliwa mara kwa mara mitandaoni.

Vifo vilikuwa vingi tarehe 29 October kwa sababu mfumo wa ulinzi ilibidi uzime jaribio haramu la kuipindua serikali kwa kificho cha maandamano,.

Hayakuwa maandamano bali jaribio la vijana kuiga yale yaliyotokea Madagascar na Sri Lanka wakitegemea ushauri wa Dada Mange ambaye hajui mengi kuhusiana na usalama na ulinzi wa nchi.
 
PhD imeongea/imeandika hapa. Wale wenye elimu za hapa na pale (za kuunga unga) tusome kwa utulivu na tafakari
PhD imeonekana, hoja haijaonekana. Labda ipo kwenye appendix 📄

Kama PhD ingetosha kujibu hoja, basi maktaba zingekuwa majibu kamili ya mijadala. Bahati mbaya, bado tunahitaji mantiki.
 
Ubalozi wa Marekani na wao ni machawa?. Ubalozi wa Russia na wao ni machawa?.

Sisi tulioamka asubuhi tukapiga kura hatukuwa wajinga mkuu.

Samia yupo mpaka 2030 nyinyi mtaendelea kuumia tu.
Hata rais wa Ivory Coast yupo madarakani na sio kwa kura
 
Maandamano huwa yanaruhusiwa nchi hii hasa viongozi wakiwa wanataka kubaki madarakani kwa shuruti? Au mlitegemea watu wataendelea kukaa kimya kama mazombie ili muendelee kunajisi chaguzi za nchi hii?
 
Maandamano huwa yanaruhusiwa nchi hii hasa viongozi wakiwa wanataka kubaki madarakani kwa shuruti? Au mlitegemea watu wataendelea kukaa kimya kama mazombie ili muendelee kunajisi chaguzi za nchi hii?
Hakuna anayenajisi chaguzi, wengi wetu tuna uvivu wa kujiingiza kwenye shughuli za kisiasa.

Uvivu wa watanzania kwenye kujisomea vitabu ndio ule ule uliopo kwenye kufuatilia michakato ya kisiasa.

CCM wapo hai kwenye siasa wengi wetu hatuipendi siasa na yote yenye kuhusiana nayo.

Kitendo cha kuchukua maboksi ya kura halafu yakatupwa hovyo na wengine wakachoma moto vituo huo ndio uhaini wenyewe.
 
Peleka ujinga mbali, unadhani hatuoni ufuatiliaji wa siasa na ukatili wanaofanyiwa na vyombo vya dola? Hizi sio zama za mawe boss. Kila kinachofanyika tunakiona na kukifahamu kwa ukweli wake. Inawezekana vipi miaka kumi iliyopita watu walikuwa wanajaa kwenye vituo vya kura, na midahalo ya kisiasa ikawa wazi, hadi Magufuli alipoanza kuteka na kuua wapinzani, kisha Samia naye akaiga tembo kunya,, ndio watu isemekane hawafuatilii siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…