#COVID19 Rais Samia: Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa Corona. Chanjo itakuwa ya hiyari

#COVID19 Rais Samia: Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa Corona. Chanjo itakuwa ya hiyari

Ujinga mtupu, kujitia mwanasayansi kumbe uchwara tu!

Hayo machanjo hayafai, yanaangamiza mfumo wa DNA na yanavuruga Auto-immunity!

Elewa hilo, usijifanye fanye mwanasayansi hapa!
Lorenzo, unapenda sana neno hilo "ujinga". Je, ni namna yako kujitambulisha?
Unajipamba na maneno kama DNA na "auto-immunity".
Sioni kama unajua maana yake ni nini. (au jaribu: kwa njia gani DNA inaathiriwa na chanjo???)

Watu mabilioni wameshapokea chanjo duniani. Kwa bahati mbaya haa katika nchi zilizoendelea, bado Afrika.
Ukifuatilia majadiliano katika nchi hizo, wanavutana kati yao wanaosema "Lazima sisi tujikinge kwanza" na wengine wanasema "Ni hatari kuacha virusi viendelee kubadilia katika nchi za kusini pasopo na chanjo, hivyo tutenge chanjo mapema na kuwapatia!"

Unaamini kweli viongozi wa siasa na uchumi pale kaskazini wanalenga kuua wananchi wao???
Utumie akili kidogo tu!
 
Lorenzo, unapenda sana neno hilo "ujinga". Je, ni namna yako kujitambulisha?
Unajipamba na maneno kama DNA na "auto-immunity".
Sioni kama unajua maana yake ni nini. (au jaribu: kwa njia gani DNA inaathiriwa na chanjo?...
Nyinyi wafuasi wa jamuhuri ya mitandao mnachekesha kweli.

Huku mtaani hakuna anayeugua corona. Tuko vizuri mno.
 
Nyinyi wafuasi wa jamuhuri ya mitandao mnachekesha kweli.

Huku mtaani hakuna anayeugua corona. Tuko vizuri mno.
Kaka nimekuuliza maswali mara kadhaa. Umeshindwa kujibu hata mara 1. Ila kutukana au kuepukana.

Ujue: wenye virusi vya Corona wako mtaani. Nimeshakueleza kwa sababu gani wengi wenye virusi hawaonyeshi dalili za ugonjwa. Lakini wanaweza kuambukiza wengine wanaougua.

Wale waliougua huoni tena mtaani. Wanalazwa (na kwa bahati mbaya wengine wanazikwa).

Waliolazwa au kuzikwa huoni mtaani-
 
Tanzania ni nchi maskini. We cannot afford that.
Najua nitalaumiwa sana kwa kuandika hivi. Nitaulizwa kwa nini posti zako fupi?
 
S
Tanzania ni nchi maskini. We cannot afford that.
Najua nitalaumiwa sana kwa kuandika hivi. Nitaulizwa kwa nini posti zako fupi?
Daah!!! Umasikini ni Kweli tupo Masikini, Ila Kumbuka hata Ugojwa wa Ndui (Pollio) ulikuwa tishio na ulienea kama hii COVID -19 lakini baadae Wazungu a.k.a Mabeberu walikuja Kuitoa chanjo yake Bure bin Bwerere Maana walijua tungekwisha kama wangeng'ang'ana sisi Kuilipia. Likewise HIV wanatoa ARV bure na Vyandarua kwa ajiri ya Kujikinga na Mosquitos waenezao malaria. Mwache Mzungu aitwe Mzungu
 
Sasa nikipewa choice nichangie ma-VX ya wabunge n.k. au nichangie afya za watanzania wenzangu nadhani jibu lipo wazi...

In short chanjo au sio chanjo kodi yako inafujwa tu...
 
Tanzania ni nchi maskini. We cannot afford that.
Najua nitalaumiwa sana kwa kuandika hivi. Nitaulizwa kwa nini posti zako fupi?

Umeandika fupi kwa kuwa huna cha kuandika maana umekurupuka tuuu! Tanzania sio nchi maskini... wewe ndio maskini. You cannot afford it ...
 
Kaka nimekuuliya maswali mara kadhaa. Umeshindwa kujibu hata mara 1. Ila kutukana au kuepukana.

Ujue: wenye virusi vya Corona wako mtaani. Nimeshakueleza kwa sababu gani wengi wenye virusi hawaonyeshi dalili za ugonjwa. Lakini wanaweza kuambukiza wengine wanaougua.

Wale waliougua huoni tena mtaani. Wanalazwa (na kwa bahati mbaya wengine wanazikwa).

Waliolazwa au kuzikwa huoni mtaani-
Acha maneno maneno wewe tapeli la chanjo!

Shenzi kabisa!
 
Acheni kushindana na marehemu JPM. Kile kilikuwa kichwa kwa kudra za mwenyezi Mungu. Average brains zitaishia kuumbuka tu na eti zinashauriana. Maandiko Matakatifu yanasema kipofu hawezi muongoza kipofu mwenzake wote wataishia kwenye shimo.

Kajifunze kitu kinaitwa tiba/kinga lishe halafu urudi. Wala hakihitaji hizi kauli za Tunaenda na dunia inavyo enda.
Haya marehemu ameshinda ,, sasa??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Haya marehemu ameshinda ,, sasa??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Wakala washetani kazi kubwa ni kuendekeza hila na kutegemea ulinzi wa majini. Sasa utajua je jinsi Mungu wa Mbinguni anavyompa Mtu Utukufu? Na kwa kupitia mtu huyo yeye hutukuzwa. Marehemu kalala ndio kwani kuna tatizo ama ubishi hapo?

Edeleeni kujiumbua na mabarakoa yenu kila uchao. Na Mungu wa mbinguni hutumia vilivyo dhaifu kuwadhalilisha na kuwaibisha walio wakuu. Watanzania huku kitaa wamewakatakia kuwaunga mkono kuvaa mabarakoa ya kumfedhehesha Mungu waliye mtegemea. Je mmejifunza lolote?
 
Ameshinda tumekubali, povu la nini watesaji nyie?
Mikono yenu imejaa damu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom