Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Lorenzo, unapenda sana neno hilo "ujinga". Je, ni namna yako kujitambulisha?Ujinga mtupu, kujitia mwanasayansi kumbe uchwara tu!
Hayo machanjo hayafai, yanaangamiza mfumo wa DNA na yanavuruga Auto-immunity!
Elewa hilo, usijifanye fanye mwanasayansi hapa!
Unajipamba na maneno kama DNA na "auto-immunity".
Sioni kama unajua maana yake ni nini. (au jaribu: kwa njia gani DNA inaathiriwa na chanjo???)
Watu mabilioni wameshapokea chanjo duniani. Kwa bahati mbaya haa katika nchi zilizoendelea, bado Afrika.
Ukifuatilia majadiliano katika nchi hizo, wanavutana kati yao wanaosema "Lazima sisi tujikinge kwanza" na wengine wanasema "Ni hatari kuacha virusi viendelee kubadilia katika nchi za kusini pasopo na chanjo, hivyo tutenge chanjo mapema na kuwapatia!"
Unaamini kweli viongozi wa siasa na uchumi pale kaskazini wanalenga kuua wananchi wao???
Utumie akili kidogo tu!