#COVID19 Rais Samia: Tanzania tuna wagonjwa wa Wimbi la Tatu la Corona

Huko kijijini kwako ni kweli hakuna corona, huku mjini ipo.
 
Kwahio wewe unatakaje?serikali ndio imeshatangaza sasa kwamba kuna wagonjwa wa wimbi la tatu,kila mtu achukue tahadhari,kama unabisha endelea kubisha
 
Si aseme tu
Si ulishangilia Nasari na ‘Lijuha-likali kwenye ule mkeka wa majuzi?! Kula maumivu taratibu sasa! Na kuna uzi, wa hukumu ya kina Mbowe kubatilishwa kule, ma-sukumagang hamjatia mguu kule, tumbo za kuhara litakuwa tatizo lenu mwaka huu, koroboi kabisa!
 
Una elimu gani ndugu
 
Kwa Nini Baraza la maaskofu katoliko TU?

Wao ndiyo wenye waumini TU??
Misikitini hakuna waumini?
Akina gwajima na makanisa mengine ya kilokole Hakuna waumini?

Waumini ndyo wanahatari ya kuambukizwa na Corona?

Na wasio na dini wahimizwe na Nani kuchukua tahadhari??

Kuna Nini nyuma ya katoliko na wimbi la tatu,?

Hata wimbi la pili katoliki walipiga kelele Sana! Kuna Nini nyuma ya pazia?

Wenye wananchi Ni serikali au Baraza ka katoliki??

Nway ,watu wasioitakia nchi hii mema, wanapenda tahadhari ya lockdown na kuzika watu bila ndugu.

India walikuwa wanachukua viungo vya watu waliokufa kwa kivuli Cha Corona.
 
Na ni bora aliwafokea hao maaskofu uchwara.

Hakuna dini inayofundisha kutapeli watu kwa magonjwa ya kuigiza.

Nyinyi madalali na vibaraka wa wazungu kiama chenu hakipo mbali.

Hatuwezi kuruhusu mliangamize taifa kwa machanjo yenye sumu.
Umechanjwa mara ngapi na kula vingapi vya wazungu hadi leo ndiyo uwaogope?
 
Mithali 10:24 ,Aogopacho mtu asiye haki ndicho kitakachomjilia,na wenye haki watapewa matakwa yao.

Hivyo bado tunaimani na Mungu wetu juu ya uponyaji wa janga hili atatuponya hakika yeye anasema tujapopita kati ya maji mengi hayatatugharikisha,tujapo pita katikati ya moto na kujaribiwa kwa namna hii hakika hatutateketea kamwe.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Raisi kutaka ukweli kutoka kwa daktari na kuambiwa ukweli, ni hatua gani zilichukuliwa na serikali kupitia wizara husika? Kama Raisi aliwatoa haraka wapiga picha wake walio tangulia wodini kwa nini Raisi aendeleze mikutano yenye kukusanya watu wengi bila kuwepo tahadhari ya kutosha wakati alisha ujua ukweli? Baada ya kuujua ukweli kuhusu wimbi la 3 kuingia nchini kwa nini adi sasa serikali (wizara ya afya) haija toa tamko rasmi kwa Taifa? Yaani maswali ni mengi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…