Rais Samia this will haunt you for the rest of your life

Rais Samia this will haunt you for the rest of your life

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.

Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.

Umekosea.
 
Nzee ya chattle nini ulalalama,familia Yako nayo imekutwamo,au mifugo wako wameondolewa kwenye malisho 🤔
 
Tundu Lissu: Maamuzi ya Kuwatoa Wananchi ni haramu, Yamepitwa na Wakati hivyo Ombi la Marejeo Liwakilishwe Haraka Ktk Mahakama Kuu.

Mh. Tundu Lissu ashauri ombi la marejeo / Judicial Review ya Haraka katika suala hili. Mh. Tundu Lissu abainisha sababu nzito zifuatazo

More info :

Kamusi Ya Maneno Na Misemo Ya Kisheria​

Bofya hapa : Kamusi Ya Maneno Na Misemo Ya Kisheria | Kenya Law

Judicial Review :
There are three main grounds of judicial review: illegality, procedural unfairness, and irrationality. A decision can be overturned on the ground of illegality if the decision-maker did not have the legal power to make that decision, for instance because Parliament gave them less discretion than they thought
In other words, judicial reviews are a challenge to the way in which a decision has been made, rather than the rights and wrongs of the conclusion reached.
Additional, The grounds of review may be the discovery of new and important matter or evidence, some apparent mistake or error on the face of the record or any other sufficient reason.

Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.

Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.

Umekosea.
Wamasai waliopo Chalinze, Pwani, Mtwara, Lindi na Morogoro hawana ardhi ya mababu? Mbona wanaishi huko bila shida kabisa

Wewe kinakuuma nini mmasai kupewa nyumba, na ekari 3 na hati juu?

Au unachukia namna Samia anavyofanya mambo kiweledi?

Endelea kulia tu hapo kabulini Chato! Tunakujua na chuki zako dhidi ya Samia sukuma gang wewe
 
My friend you have a very low IQ,

Can't argue with you.

Wakati nilikua nampigania Magufuli awe Rais nilifanya hivyo kwa Samia pia.

Wewe hukuwepo.

You are just a plastic fan.

So you better shut your mouth.
 
My friend you have a very low IQ,

Can't argue with you.

Wakati nilikua nampigania Magufuli awe Rais nilifanya hivyo kwa Samia pia.

Wewe hukuwepo.

You are just a plastic fan.

So you better shut your mouth.
Tunakujua sukuma gang! Hutusumbui

Endelea kuomboleza hapo chato
 
Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.

Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.

Umekosea.
Si mlikuwa mnajiita wanaume mara Mwamba mara Jiwe lakini mukashindwa kulinda rasilimali za Nchi..

Sasa Mwanamke wa shoka almaarugu iron lady kavunja mofupa iloyowashinda mafisi..

Bila shaka Sasa unamuelewa SSH kwamba haitaji mapambio na kujigamba wala kupandisha mabega..

Akiweka tuu karamu ya wino mwekundu things got done..

Safi Sana Rais umewaweza wale matapeli waliogeuza mbuga zetu machungio kwa kushikishwa vihela..

Good enough SSH amewahamisha kwa utu sio sawa na yule aliyevunja nyumba za watu,kufukuza watumishi,kupora pesa za wahanga wa tetemeko,kuua wapinzani nk
 
vipi waliobomolewa majumba ya thamani kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara na miradi ya umma kwa faida ya umma wote(au hili la wamasai linapigiwa kelele kwa kuwa ni agenda za wanasiasa wanaotaka kuzua taharuki) hivi unafahamukuwa wamasai wa Ngorongoro wanaweza kuishi Tanga lakini wanyamapori na uoto wa asili wa Ngorongoro hauwezi kuhamishiwa Tanga na maliasili zilizopo hapo?mengine ni bora tukayaacha yapite kuliko kuwa wafata upepo wa wanasiasa wenye kutaka kuzua taharuki,kamwe usikubali kuwa bendera fuata upepo ni vema kutumia akili yako binafsi kupambanua mambo
 
Vitabu vyao huwa vinajieleza.
Vitabu vyetu viko very strict na suala la kuonea watu, aiseh namuona uyu Mama kafumba jicho moja kujifanya haoni lkn jicho jingine linamsuta.

yaani hapo ni motoni fasterrr kama unaoendelea kumuumguza dictator JPM makalio yake.
 
23 June 2022

Land, Law, and Dispossesion: Maasai in Tanzania

The Tanzanian government recently began relocating Indigenous Maasai people from the Ngorongoro conservation area in a move rights campaigners describe as unlawful evictions. Join us tonight 7p.m on @MwanzoTv spaces as we look at the plight of the Maasai Community in #Tanzania.

Source : Mwanzo TV
 
Wamasai waliopo Chalinze, Pwani, Mtwara, Lindi na Morogoro hawana ardhi ya mababu? Mbona wanaishi huko bila shida kabisa

Wewe kinakuuma nini mmasai kupewa nyumba, na ekari 3 na hati juu?

Au unachukia namna Samia anavyofanya mambo kiweledi?

Endelea kulia tu hapo kabulini Chato! Tunakujua na chuki zako dhidi ya Samia sukuma gang wewe
Mtu ahame kutafuta riziki kwa hiari yake. Sio kwa nguvu ya wakora ili wapige madili yao
 
Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.

Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.

Umekosea.
Fanyeni kazi nyie sukuma gang, siyo mnakaa kulia lia tu. Jiwe alibomoa nyumba za watu wa kimara na wala hatukuona mkilia lia humu sasa iweje sasa hivi mnalia lia sana
 
Back
Top Bottom