Tatizo ni nyinyi wenye 'magang' yenu mnaposahau kuwa kuna wengi wasiokubaliana na ma'gang' yenu juu ya mstakabali wa nchi hii.Basi kama sis tulivumilia kwanini na wao wasivumilie wakati tunaleta maendelea ya kitaifa kama wao walivyosema enzi zao? Kikubwa kila mtu ashinde mechi zake