Rais Samia this will haunt you for the rest of your life

Rais Samia this will haunt you for the rest of your life

However, Samia will be cleansed by her humble decision of embracing rule of law and values of democracy.
 
Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.

Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.

Umekosea.
Kwani wamehamishwa kwa nguvu? Hukuona wamejengewa nyumba na kupewa ardhi huko Tanga ?
 
Wale waliovunjiwa Nyumba zao kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Reli na Bara bara je??

Wamachinga waliotimuliwa kwenye makazi yao ya kujitafutia rizki je??

Hao Wamasai wana uspesho gani haswa, hadi watu wajute,

Maendeleo huja na gharama zake, tukubaliane na hali halisi.
 
Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.

Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.

Umekosea.
Ugumu wa amri hyo upo wapi? We unaona uchungu wamasai kukosa ardhi ya loliondo huku wanapewa nyingine Tanga ama kupoteza hifadhi ambayo haina namna nyingine ila kulindwa kwa kupunguza binadamu?
Na kwanini wamasai tu wakati wengi tuu wameshaathirika na mambo ya uhifadhi na maendeleo,kwanini wamasai imekua nongwa???
 
Samia bloods of the Maasai are in your hands.
 
Wasengerema kweli nyie vibaraka wa mabeberu,hiviiii kati ya Taifa na Jamii ya wachache,ipi ni bora zaidi,Mamaaaa,endelea kuupiga mwingi
 
Kibaya zaidi ardhi hiyo anakwenda kupewa Mwarabu [emoji1190] [emoji1256]
Hahahahaha sukuma gang mnajiabisha sasa, wewe lia mpaka uvimbe macho, mama shikilia hapo hapo. Nenda na wewe ukaombe upewe
 
Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.

Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.

Umekosea.
Anapigania maslahi ya wajomba, masai watajijuwa wenyewe.
 
My friend you have a very low IQ,

Can't argue with you.

Wakati nilikua nampigania Magufuli awe Rais nilifanya hivyo kwa Samia pia.

Wewe hukuwepo.

You are just a plastic fan.

So you better shut your mouth.
Mkuu waweza kuwa uko sahihi lakini mapenzi yako kwa Mwendazake yamekupofusha. Japo siyo rahisi wewe kuliona hili
 
Hahahahaha sukuma gang mnajiabisha sasa, wewe lia mpaka uvimbe macho, mama shikilia hapo hapo. Nenda na wewe ukaombe upewe
Hao sukumagang" unaowasema hapo, na wao enzi zao walikuwa wakishangilia kama unavyoshangilia wewe sasa hivi!
 
Si mlikuwa mnajiita wanaume mara Mwamba mara Jiwe lakini mukashindwa kulinda rasilimali za Nchi..

Sasa Mwanamke wa shoka almaarugu iron lady kavunja mofupa iloyowashinda mafisi..

Bila shaka Sasa unamuelewa SSH kwamba haitaji mapambio na kujigamba wala kupandisha mabega..

Akiweka tuu karamu ya wino mwekundu things got done..

Safi Sana Rais umewaweza wale matapeli waliogeuza mbuga zetu machungio kwa kushikishwa vihela..

Good enough SSH amewahamisha kwa utu sio sawa na yule aliyevunja nyumba za watu,kufukuza watumishi,kupora pesa za wahanga wa tetemeko,kuua wapinzani nk
Uko sahihi mkuu, hawa jamaa huwa wanajizima data. Wamesahau yale ya Kimara lakini Mwanzo zoezi likasitishwa kisa tu walimpigia kura Jiwe
 
Hao sukumagang" unaowasema hapo, na wao enzi zao walikuwa wakishangilia kama unavyoshangilia wewe sasa hivi!
Kikubwa ni maslahi makubwa ya kitaifa, masai wao ni nani nchi hii, watu wa kimara mbona walipisha maendeleo sasa wao wana tofauti gani
 
Back
Top Bottom