Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Huna akiliFanyeni kazi nyie sukuma gang, siyo mnakaa kulia lia tu. Jiwe alibomoa nyumba za watu wa kimara na wala hatukuona mkilia lia humu sasa iweje sasa hivi mnalia lia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna akiliFanyeni kazi nyie sukuma gang, siyo mnakaa kulia lia tu. Jiwe alibomoa nyumba za watu wa kimara na wala hatukuona mkilia lia humu sasa iweje sasa hivi mnalia lia sana
Yani hii ardhi tukufu ya wakristo wamasai wanapewa waarabu inaniuma kichiz.Kibaya zaidi ardhi hiyo anakwenda kupewa Mwarabu 🇴🇲 🇦🇪
Kwani wamehamishwa kwa nguvu? Hukuona wamejengewa nyumba na kupewa ardhi huko Tanga ?Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.
Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.
Umekosea.
Nani kakwambia bro anapewa mwarabu???Kibaya zaidi ardhi hiyo anakwenda kupewa Mwarabu 🇴🇲 🇦🇪
Ugumu wa amri hyo upo wapi? We unaona uchungu wamasai kukosa ardhi ya loliondo huku wanapewa nyingine Tanga ama kupoteza hifadhi ambayo haina namna nyingine ila kulindwa kwa kupunguza binadamu?Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.
Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.
Umekosea.
Hahahahaha sukuma gang mnajiabisha sasa, wewe lia mpaka uvimbe macho, mama shikilia hapo hapo. Nenda na wewe ukaombe upeweKibaya zaidi ardhi hiyo anakwenda kupewa Mwarabu [emoji1190] [emoji1256]
Anapigania maslahi ya wajomba, masai watajijuwa wenyewe.Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.
Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.
Umekosea.
Mkuu waweza kuwa uko sahihi lakini mapenzi yako kwa Mwendazake yamekupofusha. Japo siyo rahisi wewe kuliona hiliMy friend you have a very low IQ,
Can't argue with you.
Wakati nilikua nampigania Magufuli awe Rais nilifanya hivyo kwa Samia pia.
Wewe hukuwepo.
You are just a plastic fan.
So you better shut your mouth.
Hao sukumagang" unaowasema hapo, na wao enzi zao walikuwa wakishangilia kama unavyoshangilia wewe sasa hivi!Hahahahaha sukuma gang mnajiabisha sasa, wewe lia mpaka uvimbe macho, mama shikilia hapo hapo. Nenda na wewe ukaombe upewe
Uko sahihi mkuu, hawa jamaa huwa wanajizima data. Wamesahau yale ya Kimara lakini Mwanzo zoezi likasitishwa kisa tu walimpigia kura JiweSi mlikuwa mnajiita wanaume mara Mwamba mara Jiwe lakini mukashindwa kulinda rasilimali za Nchi..
Sasa Mwanamke wa shoka almaarugu iron lady kavunja mofupa iloyowashinda mafisi..
Bila shaka Sasa unamuelewa SSH kwamba haitaji mapambio na kujigamba wala kupandisha mabega..
Akiweka tuu karamu ya wino mwekundu things got done..
Safi Sana Rais umewaweza wale matapeli waliogeuza mbuga zetu machungio kwa kushikishwa vihela..
Good enough SSH amewahamisha kwa utu sio sawa na yule aliyevunja nyumba za watu,kufukuza watumishi,kupora pesa za wahanga wa tetemeko,kuua wapinzani nk
Hata nikitumia zako bado ntakuambia ukweli. Acha kulia lia nenda kafanye kazi.Huna akili
Kufa mkuu, umasikini mbaya sanaYani hii ardhi tukufu ya wakristo wamasai wanapewa waarabu inaniuma kichiz.
Malyenge STRUGGLE MAN faizafoxxy
Vp wale wa kimara? Damu zao ziko kwa mikono ya nani?Samia bloods of the Maasai are in your hands.
Wale wa kimara vp mkuu? Wana walobomolewa nyumba zao bila hata fidia ndogoAnapigania maslahi ya wajomba, masai watajijuwa wenyewe.
Kikubwa ni maslahi makubwa ya kitaifa, masai wao ni nani nchi hii, watu wa kimara mbona walipisha maendeleo sasa wao wana tofauti ganiHao sukumagang" unaowasema hapo, na wao enzi zao walikuwa wakishangilia kama unavyoshangilia wewe sasa hivi!