Rais Samia this will haunt you for the rest of your life

Rais Samia this will haunt you for the rest of your life

Wale wa kimara vp mkuu? Wana walobomolewa nyumba zao bila hata fidia ndogo
Ninawakumbuka sana, na wala sioni ahuweni kwa wao kuhamishwa; lakini hiyo siyo sababu ya kuhalalisha haya yanayotokea sasa.
Na pia usipende kulinganisha mambo mawili ambayo yana tofauti kubwa sana kati yake.
 
Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.

Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.

Umekosea.
Kwani watanzania wengine wanaohamishwa kwenye ardhi zao za urithi kwa kulipwa fidia siyo watu.
 
Kikubwa ni maslahi makubwa ya kitaifa, masai wao ni nani nchi hii, watu wa kimara mbona walipisha maendeleo sasa wao wana tofauti gani
Hapana.
Hapa sioni msukumo ukiwa maslahi ya kitaifa zaidi ya maslahi binafsi ya wahusika.
Maslahi ya kitaifa, hata hao masai nina hakika wangeyaunga mkono kwa moyo safi kabisa kama serikali ingekuwa na nia njema ya kufanya kazi hiyo kwa ufanisi kuliko inavyofanya sasa..
Haya siyo maslahi ya taifa. Huo ni uongo.
 
Tundu Lissu: Maamuzi ya Kuwatoa Wananchi ni haramu, Yamepitwa na Wakati hivyo Ombi la Marejeo Liwakilishwe Haraka Ktk Mahakama Kuu.

Mh. Tundu Lissu ashauri ombi la marejeo / Judicial Review ya Haraka katika suala hili. Mh. Tundu Lissu abainisha sababu nzito zifuatazo

More info :

Kamusi Ya Maneno Na Misemo Ya Kisheria​

Bofya hapa : Kamusi Ya Maneno Na Misemo Ya Kisheria | Kenya Law

Judicial Review :
There are three main grounds of judicial review: illegality, procedural unfairness, and irrationality. A decision can be overturned on the ground of illegality if the decision-maker did not have the legal power to make that decision, for instance because Parliament gave them less discretion than they thought

Additional, The grounds of review may be the discovery of new and important matter or evidence, some apparent mistake or error on the face of the record or any other sufficient reason.

Huyu naye hajui kuwa kachuja. Kila jambo na wakati wake. Asome alama za nyakati.
 
Hapana.
Hapa sioni msukumo ukiwa maslahi ya kitaifa zaidi ya maslahi binafsi ya wahusika.
Maslahi ya kitaifa, hata hao masai nina hakika wangeyaunga mkono kwa moyo safi kabisa kama serikali ingekuwa na nia njema ya kufanya kazi hiyo kwa ufanisi kuliko inavyofanya sasa..
Haya siyo maslahi ya taifa. Huo ni uongo.
Ungetaka Serikali ifanyeje zaidi
 
Binafsi naunga mkono Wamasai kuhamishwa hifadhini kwasababu athari zake kwa baadae ni kubwa
 
Watahama tu kwa hiyari au shurti kama wanajiona wao ni special sana watakipata wanachokitafuta.

Watu Kila siku wanahamishwa kwa maslahi mapana ya taifa wengine wanabomolewa bila kulipwa hata cent 1 hawa mayeroo wanapewa ardhi, fidia na usafiri bado mnatokwa povu. Hili jambo linaendeshea kisiasa sana ila mayeroo watahama tu.
 
Ungetaka Serikali ifanyeje zaidi
Iache uongo.
Ifanye kazi na wananchi wake na wananchi waiamini kwamba inasimamia maslahi yao kwanza, kila siku kabla ya maslahi ya wageni.

Serikali inao wajibu kwa wananchi. Isijione kwamba yenyewe ndiyo ina mamlka ya kuumiza wananchi wake bila kufanya jitihada za kuwaelimisha wananchi hao waelewe umuhimu wa jambo linalotaka kufanyika.

Broadly, hiyo ndiyo theme inayotakiwa katika serikali yoyote.
 
Imewaumizaje kama inamuhamisha mfugaji kutoka eneo asiloruhusiwa kujenga nyumba ya kudumu, hana hati ya eneo husika, hakuna huduma bora na kupelekwa kwenye eneo akipewa hati ya nyumba bora, eneo la malisho, kusafirishwa yeye na mifugo yake, huduma za kijamii na fidia juu. Kama wewe ndiye ungekuwa kiongozi, what more would you do for the exercise? Wakati mwingine tu objective kidogo badala ya kuwa reactive muda wote. Inapokosea tuseme no lakini inachopatia tuseme imepatia.
 
Fanyeni kazi nyie sukuma gang, siyo mnakaa kulia lia tu. Jiwe alibomoa nyumba za watu wa kimara na wala hatukuona mkilia lia humu sasa iweje sasa hivi mnalia lia sana
Tunakujua wewe masikini!
 
Huyu mama alichowafanya wamachinga na Wamasai hakitosahaulika kamwe!. Huyu mama nyakati nyingine ni very cold hearted!.
Yaani unauza nchi kwa mwarabu, kisha unawapelekea wananchi wako mwenyewe Jeshi liwaswage kama ng'ombe!. Huu ni msiba mkubwa!
 
Tupe ushahidi wa nchi kuuzwa kwa mwarabu
 
Imewaumizaje kama inamuhamisha mfugaji kutoka eneo asiloruhusiwa kujenga nyumba ya kudumu, hana hati ya eneo husika, hakuna huduma bora na kupelekwa kwenye eneo akipewa hati ya nyumba bora, eneo la malisho, kusafirishwa yeye na mifugo yake, huduma za kijamii na fidia juu. Kama wewe ndiye ungekuwa kiongozi, what more would you do for the exercise? Wakati mwingine tu objective kidogo badala ya kuwa reactive muda wote. Inapokosea tuseme no lakini inachopatia tuseme imepatia.
Hakuna asiyotaka hayo mazuri uliyoorodhesha hapo wewe, lakini umejiuliza sababu zinazosababisha hizi kelele nyingi kuwepo ni za nini?
Wewe unadhani hao wasiotaka kwenda huko kwenye neema ni vichaa?
Kwa nini usichukue muda kujiridhisha kwa nini serikali iwe na uongo mwingi kiasi hiki, huku ikiwa na maslahi ya wananchi wake!
 
Back
Top Bottom