pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kwa Loliondo ipo kwa kuwanufaisha wakenya kuleta mifugo yao kulisha, kwa sababu tu ni wamasai?Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.
Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.
Umekosea.
Ni human nature tu ya ku resist any changes. Katika jamii huwezi kupata watu wote wakakubaliana na kitu flani. Hata jangwani walipinga kuhama na walipata watetezi wengi tu. Hao watu wangehamishwa enzi ya JPM, wangehama bila hata nyumba moja na no one would dare to speak shit or loud.Hakuna asiyotaka hayo mazuri uliyoorodhesha hapo wewe, lakini umejiuliza sababu zinazosababisha hizi kelele nyingi kuwepo ni za nini?
Wewe unadhani hao wasiotaka kwenda huko kwenye neema ni vichaa?
Kwa nini usichukue muda kujiridhisha kwa nini serikali iwe na uongo mwingi kiasi hiki, huku ikiwa na maslahi ya wananchi wake!
Mtu akiwa na maoni tofauti na yako haina maana lazima awe na low IQ.My friend you have a very low IQ,
Can't argue with you.
Wakati nilikua nampigania Magufuli awe Rais nilifanya hivyo kwa Samia pia.
Wewe hukuwepo.
You are just a plastic fan.
So you better shut your mouth.
Very shallow replyMy friend you have a very low IQ,
Can't argue with you.
Wakati nilikua nampigania Magufuli awe Rais nilifanya hivyo kwa Samia pia.
Wewe hukuwepo.
You are just a plastic fan.
So you better shut your mouth.
Kwahiyo unaona angepewa Msomali?Kibaya zaidi ardhi hiyo anakwenda kupewa Mwarabu 🇴🇲 🇦🇪
Mkuu samahani sana, unazungumzia binaadam kama mifugo?Ni human nature tu ya ku resist any changes. Katika jamii huwezi kupata watu wote wakakubaliana na kitu flani. Hata jangwani walipinga kuhama na walipata watetezi wengi tu. Hao watu wangehamishwa enzi ya JPM, wangehama bila hata nyumba moja na no one would dare to speak shit or loud.
Heshima mkuu Huihui,Ukweli uliojificha. Jambo hili lina pande mbili: Mosi, ongezeko la watu na mifugo ni hatari kwa uhifadhi, hii nadhani inatokana na wenyeji kutokuwa waminifu na wazalendo.
Wamekaribisha mifugo ya Wakenya na wanafanya siasa hifadhini, na ndiyo unaona leo kelele zinapigwa sana Kenya. Kenya wanamuomba Mh Uhuru aje aongee na Rais Samia. Kwa lipi? Wote tujiulize.
Pili, uhifadhi wa mazingira wa Ngorongoro ni mkubwa sana, na ndiyo maana kila mfugaji tajiri awe Kenya au Tanzania atapeleka mifugo kule kwani nyasi ni nyingi sana kwa ajili ya wanyama pori na maji yapo throughout the year, na ndiyo ugomvi, wameharibu mazingira katika maeneo yao wanaingiza mifugo yao kwenye hifadhi.
Hifadhi ni km 1,500 za mraba, eneo la wamasai wamepewa km 2,500 za mraba kwa ajili yao na mifugo. Sasa wanataka zile km 1,500 za mraba na wao wawepo! Kama umefuatilia jana yupo Mkenya ametoa kauli ya serikali kuacha mara moja uwekaji wa alama za mawe kuzunguka hifadhi.
Kwani kawahamisha? Yeye kawapunguza tu kwa kua eneo wanaloishi una umuhimu kwa shughuli za kitalii na uhifadhi wa wanyama pori. Wanyama pori na utalii ni muhimu kwa uchumi wa nchi.Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.
Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.
Umekosea.
serikali ya ccm ya wapigadili lolote lawezekana na hate mie naamini ardhi wanapewa waarabu. karma is real, watch this space.Tupe ushahidi wa huyo mwarabu anayepewA
Point yako nini mbona hueleweki? Ni wapi Serikali imetumia nguvu kuwahamisha? Shida iko wapi kwa jamii moja kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine iwapo mazingira wezeshi yamewekwa huko wanakohamia. Mbona Serikali imewahamisha watumishi wake kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma, au huu sio kuwahamisha watu kutoka maeneo yako. Kuna watu wamehamishwa kutoka maeneo yao ya asili kwa ajili ya kulinda vyanzo vya maji, na hili limefanyika karibu mikoa mingi tu Tanzania. Shida ni nini kwa wamasai? Watanzania mnatengenezewa agenda nanyi mnakubali. Amkeni.Mkuu samahani sana, unazungumzia binaadam kama mifugo?
Utashi aliokupa Mungu wewe unadhani wengine hawana utashi kama wako?
Sasa unasema hilo la kutumia nguvu, kwa hiyo nchi hii isiwe ya maelewano bali iwe ya kila mwenye maguvu afanye atakavyo, na serikali ndiyo basi tena wakiamua chochote pasiwepo mtu wa kuhoji?
Hivi wewe huelewi kwamba wakoloni nao walikuwepo hapa, tena na nguvu nyingi zaidi hata kuwashinda hawa unaowashangilia sasa.
Maana ya kuwa na serikali inayoheshimu matakwa ya wananchi ni nini?
Haya unamzungumzia Magufuli, yupo wapi sasa?
Hawa nao wakati wao unakuja. Vuta subira tu.
Kama umewekeza huko, hakikisha usipoteze kila kitu.
Hao wamasai wameathirika vipi?Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote.
Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa.
Umekosea.
Kama wew ni masikini usidhani kila mtu ni masikini. Hata huyo jiwe alikuwa anawadanganya mjivunie unyonge wakati yeye anapiga pesa. Pole sana mnyongeTunakujua wewe masikini!
Yes, usisahau kufanya kazi ukaishia kunipuuza mimi tu.Nakupuuza
So wale wa kimara ilikuwa ni maslai ya kitaifa na waliyaunga mkono hao walio vunjiwa nyumba?Hapana.
Hapa sioni msukumo ukiwa maslahi ya kitaifa zaidi ya maslahi binafsi ya wahusika.
Maslahi ya kitaifa, hata hao masai nina hakika wangeyaunga mkono kwa moyo safi kabisa kama serikali ingekuwa na nia njema ya kufanya kazi hiyo kwa ufanisi kuliko inavyofanya sasa..
Haya siyo maslahi ya taifa. Huo ni uongo.
Basi kama sis tulivumilia kwanini na wao wasivumilie wakati tunaleta maendelea ya kitaifa kama wao walivyosema enzi zao? Kikubwa kila mtu ashinde mechi zakeHao sukumagang" unaowasema hapo, na wao enzi zao walikuwa wakishangilia kama unavyoshangilia wewe sasa hivi!
Boss! Nchi hii masai siyo wa kwanza kuhamishwa. Wakati wa Kikwete na Mkapa, kanda ya ziwa imeathirika sana na hama hama hizi kwa kuwapisha wachimba madini. Pale Geita kuna familia waliishi darasani kwa miaka zaidi ya miwili; bila fidia, bila kujemgewa nyumba. Miaka ya 70 wananchi wa Ukara walihamishiwa wilaya ya Sengerema. Walichopewa ni usafiri tu; bila kujengewa chochote! Kwa nini Maasai waonekane ni special?Hapana.
Hapa sioni msukumo ukiwa maslahi ya kitaifa zaidi ya maslahi binafsi ya wahusika.
Maslahi ya kitaifa, hata hao masai nina hakika wangeyaunga mkono kwa moyo safi kabisa kama serikali ingekuwa na nia njema ya kufanya kazi hiyo kwa ufanisi kuliko inavyofanya sasa..
Haya siyo maslahi ya taifa. Huo ni uongo.
Mkuu, Patriot', sidhani kwamba kinachohojiwa hapa ni watu (wamasai) kuhamishwa; na mwishowe nashukuru umepata sehemu ya jibu, hata kama si jibu kamili kwa nini watu wanahoji.Boss! Nchi hii masai siyo wa kwanza kuhamishwa. Wakati wa Kikwete na Mkapa, kanda ya ziwa imeathirika sana na hama hama hizi kwa kuwapisha wachimba madini. Pale Geita kuna familia waliishi darasani kwa miaka zaidi ya miwili; bila fidia, bila kujemgewa nyumba. Miaka ya 70 wananchi wa Ukara walihamishiwa wilaya ya Sengerema. Walichopewa ni usafiri tu; bila kujengewa chochote! Kwa nini Maasai waonekane ni special?
Hisia mbaya nio hiyo kwamba eneo anapewa mwarabu. Hili sitashangaa maana rais wetu anaonekana ni mpenda uarabu. na haonekani kujiul;iza mara mbili kabla ya kuzungumza.