Basi kama sis tulivumilia kwanini na wao wasivumilie wakati tunaleta maendelea ya kitaifa kama wao walivyosema enzi zao? Kikubwa kila mtu ashinde mechi zake
Mkuu 'Allency', naona nitaishiwa na uvumilivu, kwa sababu katika mada hii hii nimekwishalielezea hili. Kimara na Ngorongoro usiyachanganye chungu kimoja, hata kama watu wa kimara ninakubali hawakutendewa haki.