Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

Mama Usimsahau Yule Jamaa pale Ofisi yako ya Zamani amesumbua watu sana kuwatishia na kuwasumbua sana watumishi naamini yule uanze kumchapa kabisa kalamu..
Na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Muhoji ni kimeo sana.
 
Haaaa! Kumbe kuna sinia jingine linashushwa Tuesday! Eeh Mama, nikumbuke kwenye umalkia wako nakusihi. Ndizi ninazo na kijiko ninacho, tatizo ni sinia tu halijapita mbele yangu...
 
Kuna mwanga mkubwa kwa makatibu wakuu kubadilishwa wizara ili kuendana na mabadiliko ya mawaziri!
 
" Wiki ijayo baada ya Pasaka natarajia kufanya Mabadiliko mengine ya Maafisa mbalimbali hivyo mnaoteuliwa sasa Kachapeni Kazi na acheni kuanza Kuwaza Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 "

Natamani ningekuwa Mganga wa Kienyeji ili nami hii Kauli ya Mama ambayo najua itawafanya walioko katika Nyadhifa na wale wanaozitaka Wafurike mno kwa Waganga wa Kienyeji Kuroga hivyo ningetajirika ghafla.

Natoa Ushauri wa bure tu wenye Vyeo vya Katibu Mkuu wa Wizara, Ukuu wa Mkoa, Ukuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Boss Mmoja hivi Mpare Mkuu wa Taasisi yenye Umuhimu Tanzania anzeni Kuomba Misamaha kwa mliowakwaza na Kuziandaa Familia zenu Kisaikolojia kwani kuna mtakaolia na Kuumbuka pia.

Msiseme tu All - Rounder sikuwaambia.
 
Umekosea kidogo..

Uchaguzi Mkuu 2025.

Namuona Malonda akisogea taratibu siku za usoni
 
Nimesoma kwa Jasusi Everist Chahali kaandika kuwa DG wa TISS bwana Athuman Diwani Msuya anatumbuliwa soon
 
Kitu tunacho subiria ni kuwaona wanga wenzake Philip wakipewa mwana wamlee,"ukitaka kumlinda mwanao na wachawi wape wamlee" Rais mama Samia.
 
" Wiki ijayo baada ya Pasaka natarajia kufanya Mabadiliko mengine ya Maafisa mbalimbali hivyo mnaoteuliwa sasa Kachapeni Kazi na acheni kuanza Kuwaza Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 "

Natamani ningekuwa Mganga wa Kienyeji ili nami hii Kauli ya Mama ambayo najua itawafanya walioko katika Nyadhifa na wale wanaozitaka Wafurike mno kwa Waganga wa Kienyeji Kuroga hivyo ningetajirika ghafla.

Natoa Ushauri wa bure tu wenye Vyeo vya Ukuu wa Mkoa, Ukuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Boss Mmoja hivi Mpare Mkuu wa Taasisi yenye Umuhimu Tanzania anzeni Kuomba Misamaha kwa mliowakwaza na Kuziandaa Familia zenu Kisaikolojia kwani kuna mtakaolia na Kuumbuka pia.

Msiseme tu All - Rounder sikuwaambia.
Ma ccm kuroga ndiyo tabia yao ukiwepo na wewe
 
Back
Top Bottom